Huwa hana muda huo hata kidogo huyo jamaa. Lengo ni kunyoosha inchi.Hivi unaona kabisa Magufuli ni mtu wa kuangalia kituo cha TV kufanya maamuzi?
Huwa hana muda huo hata kidogo huyo jamaa. Lengo ni kunyoosha inchi.Hivi unaona kabisa Magufuli ni mtu wa kuangalia kituo cha TV kufanya maamuzi?
Blaza hapo mwisho ungeninyooshea angetia akili huyu bumunda sema daah!mbona unajihami, KLMY
Yatakapoanza kubomolewa hayo mahekalu ya mbezi mtamuona tena Lowasa atasema ni ya wafuasi wake.Lakin wao si wamereport kilichotokea uwenda walikiuka sheria mbona hyo maekaru ya mbezi ayabomolewa
Nyumba zinazo bomolewa si tu zilizo bondeni bali hata zile zilizo jengwa ambapo ni sehemu za wazi au sehemu zenye matumizi mengine....! Hivyo wako sahihi...kwa hiyo sababu za kubomoa ziko nyingi si kuwa bondeni pekee...Katika taarifa ya habari iliyosomwa jana usiku saa mbili na kurudiwa leo asubuhi ITV imeripoti kuwa hata nyumba ambazo zilikuwa maeneo ya juu ambazo hazijawahi kukumbwa na mafuriko nazo zimebomolewa. Taarifa hii wameipata kwa kuwahoji waathirika pekee bila kuwahoji wasimamizi wa ubomoaji kama zina ukweli wowote au ni malalamishi yasiyo na msingi.
Kwa mtazamo wangu nadhani walipaswa kuwahoji na wasimamizi wa bomoabomoa ili kupata habari iliyokamilika vizuri. ITV kurusha taarifa kama hii kwa upande wangu naona kama ni kudhoofisha bomoa bomoa inayoendelea kwa kuwa itaonekana kama ni zoezi ambalo halikufanyiwa utafiti wa kina kujua ni nyumba zipi zinapaswa kubomolewa hivyo kuonekana kama serikali ilikurupuka na inachofanya ni uonevu kwa baadhi ya watu.
Naomba kuwasilisha ila matusi hapana.
Katika taarifa ya habari iliyosomwa jana usiku saa mbili na kurudiwa leo asubuhi ITV imeripoti kuwa hata nyumba ambazo zilikuwa maeneo ya juu ambazo hazijawahi kukumbwa na mafuriko nazo zimebomolewa. Taarifa hii wameipata kwa kuwahoji waathirika pekee bila kuwahoji wasimamizi wa ubomoaji kama zina ukweli wowote au ni malalamishi yasiyo na msingi.
Kwa mtazamo wangu nadhani walipaswa kuwahoji na wasimamizi wa bomoabomoa ili kupata habari iliyokamilika vizuri. ITV kurusha taarifa kama hii kwa upande wangu naona kama ni kudhoofisha bomoa bomoa inayoendelea kwa kuwa itaonekana kama ni zoezi ambalo halikufanyiwa utafiti wa kina kujua ni nyumba zipi zinapaswa kubomolewa hivyo kuonekana kama serikali ilikurupuka na inachofanya ni uonevu kwa baadhi ya watu.
Naomba kuwasilisha ila matusi hapana.
Soma habari usiingie mkenge wa watu hakuna sehemu ITV wanapinga bomoa bomoa..hili jambo si la kisiasa...! Bahati mbaya huwa watu mkikuta mada mnaivaa tuu bila hata kufatilia...! Mtoa mada anachochea tuu hajui kama walio hojiwa wako sahihi maana unaweza kuwa hauko bondeni lakini ukabomolewa kwa sababu si sehemu ya makazi! Ni vyema mkafatilia kuliko kuandika tuu! Tafadhali msimchonganishe watu....ITV wanajihangaisha tu. Boss wao naye ni mhanga wa bomoa bomoa inayoendelea. Lakini hata hivyo waziri alishasema. hataonewa mtu, na wala hataachwa yeyote aliyevunja sheria
Malalamishi au malalamiko???Hata kama hafanyi hivyo kama kuna malalamishi ya kweli si anatakiwa kuyazingatia
te teh teh teh mabindeni 😡 😡 😡 😛 😀 😱Kweli kabisa kwa mijibu ya viongizi walisema ni zilizo mabindeni tu
Hivi kwa akili yako unadhani ITV wataonesha mema ya Serikali ya Magufuli? Unamjua mmiliki wa ITV? Ni nani na anatoka wapi?
Soma habari usiingie mkenge wa watu hakuna sehemu ITV wanapinga bomoa bomoa..hili jambo si la kisiasa...! Bahati mbaya huwa watu mkikuta mada mnaivaa tuu bila hata kufatilia...! Mtoa mada anachochea tuu hajui kama walio hojiwa wako sahihi maana unaweza kuwa hauko bondeni lakini ukabomolewa kwa sababu si sehemu ya makazi! Ni vyema mkafatilia kuliko kuandika tuu! Tafadhali msimchonganishe watu....
weak argumentHivi kwa akili yako unadhani ITV wataonesha mema ya Serikali ya Magufuli? Unamjua mmiliki wa ITV? Ni nani na anatoka wapi?