Sasa ameanza rasmi kampeni za kutuma spam messages akiomba kupigiwa kura.
Inasikitisha hii mitandao yetu kutumika kwenye kampeni na kugawa namba zetu kwa wanasiasa.
Allen Kilewella lemakeshaangukia pua
Jamaa wana Roho ngumu sana!!Kweli nimeamini, kuna utahira ndani ya ccm.
Ngojeni tingatinga lije kukuomboa jimbo Lema atakuwa historia. Monaban fanya mpango haraka tingatinga lije wafanyabiashara Tunataka Geneva of Africa irudishe hadhi yake.
Sasa ameanza rasmi kampeni za kutuma spam messages akiomba kupigiwa kura.
Inasikitisha hii mitandao yetu kutumika kwenye kampeni na kugawa namba zetu kwa wanasiasa.
Wale waliosema lema hatapiga kampeni waje humu tujadiliane
Nyie wana ACT mliopata walau kiti kimoja cha ubunge nnawapa taarifa kuwa CDM tunaongeza kiti moja cha Lema ambacho kitazalisha viti vya wabunge wawili wa viti maalumu.
Lema aiteka arusha
Hivi Arusha mnampaje kura mwehu vile?!!