Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,279
- 866,735
Hujuma pia toka kwa wafanyakazi au washindani kibiashara pia inawezekanaPerfect! Nilitegemea hiyo toka kwako- scientific reasoning!
Hujuma pia toka kwa wafanyakazi au washindani kibiashara pia inawezekanaPerfect! Nilitegemea hiyo toka kwako- scientific reasoning!
Sure, these are plausible reasons!Hujuma pia toka kwa wafanyakazi au washindani kibiashara pia inawezekana
pia wind direction ikichange nayo ni sabab maana husuport. brake mfano umeambiwa land from east to west to oppose the effect of wind ww ukaland opposite na maelekezo ie frm west to east wind lazma itaongeza velocity ya jet itambid pilot atumie uzoefu wake kuokoaMkuu Mshana heshima mbele..kila ajali inayotokea lazima ihusishwe na ushetani?kuna masuala ya uzembe wa pilot,mechanical problems etc..its better u get people to focus on the positive side..hamna haja ya kuwaingiza watu kwenye uoga
UchakavuABIRIA WALIOKUWA WANASAFIRI KUTUMIA NDEGE YA AURIC AIR , WALIYOKUWA WAMEPANDAA WAKITOKEA MWANZA.
TAIRI YA NYUMA ,UPANDE WA KULIA KUPASUKA WAKATI WA KUTUA
ABIRIA WOTE WAMEOKOLEWA
Kafara limegoma, wamekosea masharti [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Wewe umekuwa mjinga na mambo haya !Uko sahihi kabisa lakini kila mmoja ana uhuru wa kuja na speculations tofauti
Kwa mtazamo wangu ni vitu kama hivi na wewe pia huo ni mtazamo wako na siwezi kupingana nawe na mambo ya giza hayana ithibati za kisayansi lakini yapo
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Yaani wewe balaaa kabisa!