Recent content by MWANAWET

  1. M

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Swalamaa?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

    Napata wapi pump za mafuta chini ya 5m
  3. M

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Maxence Melo

    Happy Birthday max! Long life I wish
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waliowahi kufumaniwa na wapenzi wao tukutane hapa

    Naomba link ya Uzi huo " jamani kiingereza kinatudhalilisha" maana nimejaribu kuutafuta bila mafanikio please! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Jamani Mfungo wa mwezi mtukufu unaelekea ukingoni mola atujalie kumaliza salama!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Filamu za Nigeria zilizotamba miaka hiyo

    Sio karishika! Ni END OF THE WICKED BY HELLEN UKPABIO.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ofaaa bab kubwaaa ya magari kutoka Japan

    Rangi nyeupe!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ofaaa bab kubwaaa ya magari kutoka Japan

    Land cruiser v8 ya 2002 -4 sunroof bei gani the cheapest lakini?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wapenda music wenye asili ya Congo

    Umeimbwa na Le General Defao unaimbwa-kolza wangu baba unirumie.......unakalia Politiki!!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wenger bado yupo!

    Watz na club zetu tunapenda mafanikio ya haraka-tumuige Wenger anajenga timu kwa utulivu hana pressure.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tajiri Zackaria Hans poppe amerejea rasmi Simba

    Hayo maneno ya kujifariji baada ya kukosa ubingwa!! Hangaikeni na mechi ya FA dhidi ya mbao acha porojo hata Simba washirikina na Mechi ya Juzi Mliwasaidia sana Mbeya city kiuchawi yaani tulicheza na timu mbili- lakini tulikuwa imara.
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuingizwa mjini, au kumuingiza mjini mpenzi wako?

    Acha kutoa siri za Idara![emoji12] [emoji106]
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kenneth Kaunda atimiza miaka 93

    Hivi ile issue ya mwanae aitwae Kambarage Kaunda aliyeua iliishaje? Alinyongwa au kufungwa maisha?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mmeshaliwa! Bongo daslaam
Back
Top Bottom