Recent content by mwanatumaini

  1. mwanatumaini

    Kugongewa sio tatizo, tatizo ni haya...

    [emoji2][emoji2][emoji2]Asante,maana kesho Nina mchepuko
  2. mwanatumaini

    Prof Lipumba: Nilimkaribisha Lowassa UKAWA dhamira ikanisuta,CHADEMA walitumia UKAWA kuiua CUF

    Mpaka interview inakwisha Tido atakuwa kalowa sana uso kama vile katoka kunawa.
  3. mwanatumaini

    Mawaziri kuhamia majengo ya UDOM kwazua mjadala Bungeni. Wizara hazijapata hata viwanja vya kujenga

    Sio kukaa mtaani tu, wafanyakazi walio wengi pale UDOM hata ofisi hawana wanabanana kwenye common rooms wkt majengo mengine wamepewa serikali.
  4. mwanatumaini

    Kafulila: Nimerejea CHADEMA rasmi leo

    Ile kesi ya matokeo ya ubunge iliisha? Ikitokea mahakama ikatengua ule ushindi wa mpinzani wake, atarudisha tena kadi ya CDM?
  5. mwanatumaini

    Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni lazima sii hiyari, tudai vyote

    Msisusie kupiga kura. Hata mimi nilishawaza hicho kitu kususa lkn nikaona ni kweli Rais mpinzani ni ndoto, nikaona ni bora nichague Mbunge tu na Diwani hiyo 2020 lkn kura ya Rais kwangu mimi mpk sasa imeshaharibika. Tukichagua wabunge wenginwa upinzani things gonna move more easier kuliko hii...
  6. mwanatumaini

    CHADEMA na washirika wenu jiandaeni kukabidhiwa nchi 2020

    Mnaota nyie, CCM haing'oki kwa sanduku la kura hata siku moja.
  7. mwanatumaini

    Ni heri ya Lowassa!

    Na mkome kiherehere chenu, si mlisema ni jembe, cjui bulldozer? Bht mbaya jemba au bulldozer halinaga macho linakata kokote tu. Safi sana, mimi huu mnyoosho naufurahia mpk akili itakapoturudia.
  8. mwanatumaini

    Sasa tunakaribia patamu

    Kaza Baba mpk maji tuseme mma. Tuliipenda wenyewe!
  9. mwanatumaini

    GPA hazifai kutumika ktk kuajiri wahadhiri na wahadhiri wasaidizi

    Mimi sidhani km mpo sahihi ninyi mnaotetea kwamba warembo wanakuwa GPA kubwa kwa sbb sio rahisi walimu wa kozi zote kumbeba mwanafunzi huyohuyo kila semester. Haiingii akilini, nakubali upendeleo upo na pia ukandamizaji upo lkn hauwezi kuwa wa kila somo na kila semester. Tatizo ni negative...
  10. mwanatumaini

    Kwetu ya Rayvany yaiburuza Aje ya alikiba nchini Kenya

    Kiba mwisho wake Kibaha.
  11. mwanatumaini

    Young Dee achana na Tunda kalee mtoto wako

    Hawa mademu nao wapunguze kujirahisi kwa hivi vianaume suruali eti kwa sababu ni celebrities. Shukuru Mungu kupata mtoto ila mara nyingine anaweza kuambatana na magonjwa make hiyo ni justification kwamba uliuza mechi.
Back
Top Bottom