GPA hazifai kutumika ktk kuajiri wahadhiri na wahadhiri wasaidizi

M

moma2k

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Messages
953
Likes
988
Points
180
M

moma2k

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2010
953 988 180
Utaratibu ulipo wa vyuo vikuu kuajiri wahadhiri kwa vigezo vya GPA ya 3.5au3.8 ni hatari sana kwa ustawi wa elimu nchini.

Utaratibu wa upatikanaji wa GPA kttk vyuo vikuu niwakutiliwa shaka lenye maana.

Kila chuo kina grading yake. Anayetoa marks ni mtu moja(mtunga na msahihisha mtihani).

Baadhi ya vyuo mhadhiri hupata zawadi kama ametoa "A" nyingi. Pia baadhi ya vyuo wahadhiri hutoa marks kubwa kwa kila mwanafunzi ili kulinda AJIRA ZAO, kwasababu wanafunzi watampenda na kumwita "mhadhiri huyu poa". Hana noma.

Hakutakuwa na malalamiko yoyote dhidi yake hata kama anafundisha hovyo. Hivyo utaratibu wa kuajili kwa kigezo cha GPA haufai, ni uwongo mtupu. Ni utaratibu wa hovyo kabisa. Interview na vipimo vingine ndio viamue.
 
M

moma2k

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Messages
953
Likes
988
Points
180
M

moma2k

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2010
953 988 180
Rudia kusoma kujua GPA inapatikana vipi!! Lecturer mmoja hawezi kutoa overall ya GPA ya mwanafunzi!
Marks za somo moja zina athali kwa GPA.PILI, nakuomba soma analysis ya article yote. Usijenge hoja kwa kukaa kwenye sentensi moja.
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,214
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,214 280
Hata pamoja na yote warembo wanakuwaga na GPA kubwa.St John wanajua.Huu mfumo wa vyuo vikuu haufai kabisa kwa nchi zenye wasomi wanafiki kama hapa kwetu.
Hakika umesema kweli
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,214
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,214 280
Mfumo uliopo ni mzuri tatizo siasa mingi
 
S

service

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2014
Messages
2,628
Likes
430
Points
180
S

service

JF-Expert Member
Joined May 22, 2014
2,628 430 180
Rudia kusoma kujua GPA inapatikana vipi!! Lecturer mmoja hawezi kutoa overall ya GPA ya mwanafunzi!
Jamaa anapoint Fulani msome vzr
 
M

mwanatumaini

Senior Member
Joined
Sep 2, 2013
Messages
159
Likes
20
Points
35
Age
29
M

mwanatumaini

Senior Member
Joined Sep 2, 2013
159 20 35
Mimi sidhani km mpo sahihi ninyi mnaotetea kwamba warembo wanakuwa GPA kubwa kwa sbb sio rahisi walimu wa kozi zote kumbeba mwanafunzi huyohuyo kila semester. Haiingii akilini, nakubali upendeleo upo na pia ukandamizaji upo lkn hauwezi kuwa wa kila somo na kila semester. Tatizo ni negative attitude tuliyonayo kichwani kwamba kila mrembo anayefaulu lazima awe amebebwa.
 
B

Blackjew

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Messages
239
Likes
274
Points
80
B

Blackjew

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2015
239 274 80
Shauri zenu bhana mnaojiona bado mna haki ya kusema.
 
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
4,001
Likes
5,236
Points
280
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
4,001 5,236 280
I fully agree. Elimu ya Tanzania inahitaji mabadiliko makubwa. Nilisoma mahali kwamba Deloitte na PWC wanataka kuondoa uhitaji wa degree kama kigezo cha ajira. Maana wamegundua kwamba Degree haina uhusiano na performance ya mtu kazini.

Of course ni swala linahitaji umakini. Maana mwisho wa siku utahitaji vigezo ambavyo ni objective kupima wanafunzi au walimu. Lakini kusema kwamba GPA ndo iwe kigezo cha mtu kupewa nafasi ya kufundisha chuo? Naona ni swala tata. Kuna vijana wengi nawafahamu chuo kikuu wengine tulisoma wote......(UDSM) hata ukiwaambia waandike paragraph moja ya kiingereza ni mgogoro..acha kuongea sasa. Sasa huyo kweli atamfundisha nini mwanao?

Tunahitaji (holistic education approach). Hili linazungumzika. Walimu wengi wa leo....unakuta confidence ni zero. innovation zero. na wengi hata publications hawana.....kama amejitahidi ame-publish humu humu Tanzania (ambapo competition ni almost zero). Bottom-line they cant compete internationally. Sasa mwalimu ambaye hawezi global competition, will she/he inspire students to go an extra mile for success?

We need to create more of Prof. Shivji, Chris Maina Peter, Mukandala, Luhanga nk (ambao wengi sasa ndo wamestaafu au wako ukingoni). Kwa kizazi cha walimu wa leo...nina wasiwasi sana. uwezo wao ni wa mashaka.

Tunahitaji mjadala wa kitaifa.
 
S

S.N.Jilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
540
Likes
327
Points
80
S

S.N.Jilala

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
540 327 80
Utaratibu ulipo wa vyuo vikuu kuajiri wahadhiri kwa vigezo vya GPA ya 3.5au3.8 ni hatari sana kwa ustawi wa elimu nchini.Utaratibu wa upatikanaji wa GPA kttk vyuo vikuu niwakutiliwa shaka lenye maana. Kila chuo kina grading yake. Anayetoa marks ni mtu moja(mtunga na msahihisha mtihani). Baadhi ya vyuo mhadhiri hupata zawadi kama ametoa "A" nyingi. Pia baadhi ya vyuo wahadhiri hutoa marks kubwa kwa kila mwanafunzi ili kulinda AJIRA ZAO, kwasababu wanafunzi watampenda na kumwita "mhadhiri huyu poa". Hana noma. Hakutakuwa na malalamiko yoyote dhidi yake hata kama anafundisha hovyo. Hivyo utaratibu wa kuajili kwa kigezo cha GPA haufai, ni uwongo mtupu. Ni utaratibu wa hovyo kabisa. Interview na vipimo vingine ndo viamue.
Kizazi cha kukosoa bila kutoa mwelekeo wowote wa elimu yetu. Kwanza ungetakiwa utuonyeshe GPA zinavyopatikana. Pili, utuonyeshe udhaifu wake kwa uhalisia unaouona na kufundisha chuoni. Tatu, tuonyeshe mwelekeo Je, unataka watu wa namna gani wafundishe chuo Kikuu????. Ebu mpeleke mwenye GPA ya mbili akafundishe kama atakubali. Mimi napendekeza kuwa na GPA ya 3.5 kwa vyuo vyote. Lakini, interview iwe competence based na si ya nani amekariri kuhusu kwa mfano hatua za kufanya utafiti au madesa ya kile unachotakiwa kukifundisha. Kuwe na watu professional katika interview wa kuangalia competence zaidi. Lakini wanaopewa vipaumbele ni wale wenye GPA kubwa na ukichunguza baadhi yao hawaendani na GPA zao.
 
R

RECEIPT

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2013
Messages
236
Likes
164
Points
60
Age
33
R

RECEIPT

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2013
236 164 60
Mtu anafananisha GPA za SAUT, TEKU, SEKUKO, RUCO vS government college. Government usimamizi ni mkali wakati Vyuo vya private hutoa GPA za Bwelele ili waendelee kupata wanafunzi wengi/commercial education. Mtu aliyetoka na GPA ya 2.1 SUA anauwezo mkubwa wa kupambanua mambo kuliko aliyetoka na GPA ya 3.9 TEKU
 
S

S.N.Jilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
540
Likes
327
Points
80
S

S.N.Jilala

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
540 327 80
Mtu anafananisha GPA za SAUT, TEKU, SEKUKO, RUCO vS government college. Government usimamizi ni mkali wakati Vyuo vya private hutoa GPA za Bwelele ili waendelee kupata wanafunzi wengi/commercial education. Mtu aliyetoka na GPA ya 2.1 SUA anauwezo mkubwa wa kupambanua mambo kuliko aliyetoka na GPA ya 3.9 TEKU
Acha kutudanganya Wewe. Nimesoma SAUT na interview huwa nafanya na watu wa UDSM ni kawaida na hawana kipya zaidi cha kusema kuwa ni unique students. Tatizo la elimu ya juu ni kubwa sana na Mimi niliyesoma SAUT sioni tofauti na mwanafunzi wa UDSM. Sikiliza competence based ndo kitu cha msingi zaidi na wala si chuo. Sijui kwa vyuo vingine but kwangu I believe chuo changu kiliniandaa vyema kupambana sehemu yoyote.
 
Marten steven

Marten steven

Member
Joined
Nov 10, 2016
Messages
11
Likes
4
Points
5
Age
32
Marten steven

Marten steven

Member
Joined Nov 10, 2016
11 4 5
Tatizo lenu hamjui kuwa hamjui, ila mgekuwa mnajua kuwa hamjui wala msingesumbuka sana juu ya mambo hayo.
 
M

moma2k

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Messages
953
Likes
988
Points
180
M

moma2k

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2010
953 988 180
M
Kizazi cha kukosoa bila kutoa mwelekeo wowote wa elimu yetu. Kwanza ungetakiwa utuonyeshe GPA zinavyopatikana. Pili, utuonyeshe udhaifu wake kwa uhalisia unaouona na kufundisha chuoni. Tatu, tuonyeshe mwelekeo Je, unataka watu wa namna gani wafundishe chuo Kikuu????. Ebu mpeleke mwenye GPA ya mbili akafundishe kama atakubali. Mimi napendekeza kuwa na GPA ya 3.5 kwa vyuo vyote. Lakini, interview iwe competence based na si ya nani amekariri kuhusu kwa mfano hatua za kufanya utafiti au madesa ya kile unachotakiwa kukifundisha. Kuwe na watu professional katika interview wa kuangalia competence zaidi. Lakini wanaopewa vipaumbele ni wale wenye GPA kubwa na ukichunguza baadhi yao hawaendani na GPA zao.
Hata kama ana GPA 2 kama kwenye interview amedemonstrate kuwa more capable, basi apewa ajira hiyo. Walimu ni kipaji.siyo marks tu.Mtu anaweza kuwa na GPA ya 4 lakini kufundisha zero kabisa.

Kizazi cha kukosoa bila kutoa mwelekeo wowote wa elimu yetu. Kwanza ungetakiwa utuonyeshe GPA zinavyopatikana. Pili, utuonyeshe udhaifu wake kwa uhalisia unaouona na kufundisha chuoni. Tatu, tuonyeshe mwelekeo Je, unataka watu wa namna gani wafundishe chuo Kikuu????. Ebu mpeleke mwenye GPA ya mbili akafundishe kama atakubali. Mimi napendekeza kuwa na GPA ya 3.5 kwa vyuo vyote. Lakini, interview iwe competence based na si ya nani amekariri kuhusu kwa mfano hatua za kufanya utafiti au madesa ya kile unachotakiwa kukifundisha. Kuwe na watu professional katika interview wa kuangalia competence zaidi. Lakini wanaopewa vipaumbele ni wale wenye GPA kubwa na ukichunguza baadhi yao hawaendani na GPA zao.
Kizazi cha kukosoa bila kutoa mwelekeo wowote wa elimu yetu. Kwanza ungetakiwa utuonyeshe GPA zinavyopatikana. Pili, utuonyeshe udhaifu wake kwa uhalisia unaouona na kufundisha chuoni. Tatu, tuonyeshe mwelekeo Je, unataka watu wa namna gani wafundishe chuo Kikuu????. Ebu mpeleke mwenye GPA ya mbili akafundishe kama atakubali. Mimi napendekeza kuwa na GPA ya 3.5 kwa vyuo vyote. Lakini, interview iwe competence based na si ya nani amekariri kuhusu kwa mfano hatua za kufanya utafiti au madesa ya kile unachotakiwa kukifundisha. Kuwe na watu professional katika interview wa kuangalia competence zaidi. Lakini wanaopewa vipaumbele ni wale wenye GPA kubwa na ukichunguza baadhi yao hawaendani na GPA zao.
 
Mwanyasi

Mwanyasi

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Messages
7,786
Likes
4,892
Points
280
Mwanyasi

Mwanyasi

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2010
7,786 4,892 280
Utaratibu ulipo wa vyuo vikuu kuajiri wahadhiri kwa vigezo vya GPA ya 3.5au3.8 ni hatari sana kwa ustawi wa elimu nchini.Utaratibu wa upatikanaji wa GPA kttk vyuo vikuu niwakutiliwa shaka lenye maana. Kila chuo kina grading yake. Anayetoa marks ni mtu moja(mtunga na msahihisha mtihani). Baadhi ya vyuo mhadhiri hupata zawadi kama ametoa "A" nyingi. Pia baadhi ya vyuo wahadhiri hutoa marks kubwa kwa kila mwanafunzi ili kulinda AJIRA ZAO, kwasababu wanafunzi watampenda na kumwita "mhadhiri huyu poa". Hana noma. Hakutakuwa na malalamiko yoyote dhidi yake hata kama anafundisha hovyo. Hivyo utaratibu wa kuajili kwa kigezo cha GPA haufai, ni uwongo mtupu. Ni utaratibu wa hovyo kabisa. Interview na vipimo vingine ndo viamue.
Kwahiyo vyuoni wanafunzi wapimwe vipi ufaulu?
 
Forum statistics

Threads 1,273,555
Members 490,428
Posts 30,484,876