Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
mbona simu tv
Kwa nini anawazuia? Hivi angeandaa miongozo halafu ndo akawataka wa-comply angepungukiwa nini?
Mkuu umenikumbusha mbali sana maumivu niliyopata hayaelezeki ilikuwa zaidi ya msiba. Yani wale vimbele front wa kutusi wapenda mabadiliko ndo wanaisoma number vzuri, acha tu tuisome number woteTulieni DAWA iwaingie.,machoz yng hayakwenda bure baada ya lubuva na kailima kufanya waliyo yafanya 2015.Nakumbuka nilimlilia Mungu na nilikesha ucku mzima bila ucngizi ,mwezi mzima bila furaha na huzuni nyingi. Nilimchukia kila niliye mwona akiwa karibu yng nikihisi ni msaliti.Cku hazigandi ,miaka inajongea na kwa uwezo wa Allah yote nshasahau.
Mabadiriko yalikuwa ni mwaka 2015 ikashindikana.,tusubiri miaka mingine hamsini ijayo.Udini ,ukanda ,ukabila na dhulma ndo vimetufikisha hapa.
Ule ujinga nliyo fanya 2015 sirudii tena.,hata kwa bunduki.,maana nimejua na kujifunza kuna kundi lina hati miliki.Yann kujichoshaaaaaaa!!!!!