CHADEMA na washirika wenu jiandaeni kukabidhiwa nchi 2020

Mzyondi

Member
Nov 24, 2016
40
125
Sasa ni wakati mwafaka kwa vyama vya upinzani kupokea kijiti Kutoka kwa CCM ifikapo 2020, ingawa CCM haiko tayari kuona nchi inatwaliwa na upinzani kutokana na mazowea na ulevi wa madaraka ambayo wamekuwa nayo kwa miaka mingi, kumekuwa na vuguvugu la vyama vya upinzani duniani kupata ushindi wa kushitusha, wote tumeshuhudia Donald Trump Republican alivyombwaga Hilal Clinton wa Democratic ambacho ndicho chama tawala kwa miaka nane, Rodriigo Dutete wa Philipins, Nana Akufo Ado kamshinda John Mahama raisi anayemaliza muda wake huko Ghana.

Kadhalika Gambia muungano wa upinzani ukiongozwa na Adama Barrow wamemshinda rais wa nch hiyo Yahya Jammeh, kwa hapa bongo kinachotakiwa ni kuungana vyama vyote vya upinzani ili kuwa na nguvu za pamoja ingawa zipo changamoto za kuunganisha vyama hasa unapokuwa na wapinzani aina ya Dovutwa na Lipumba, Kiuhalisia CCM imeshachokwa ila upinzani nao wamekuwa wanashindwa kuweka mikakati sahihi ila naamini safari hii kwa kuwa CHADEMA wamempata mtaalam wa mikakati mr Lowassa 2020 ndio mwisho wa CCM huo ndip ukweli mchungu kwa chama cha mapinduzi.
 
Macos

JF-Expert Member
May 12, 2008
1,936
2,000
Sasa ni wakati mwafaka kwa vyama vya upinzani kupokea kijiti Kutoka kwa ccm ifikapo 2020, ingawa ccm haiko tayari kuona nchi inatwaliwa na upinzani kutokana na mazowea na ulevi wa madaraka ambayo wamekuwa nayo kwa miaka mingi, kumekuwa na vuguvugu la vyama vya upinzani duniani kupata ushindi wa kushitusha, wote tumeshuhudia Donald Trump Republican alivyombwaga Hilal Clinton wa Democratic ambacho ndicho chama tawala kwa miaka nane, Rodriigo Dutete wa Philipins, Nana Akufo Ado kamshinda John Mahama raisi anayemaliza muda wake huko Ghana.

Kadhalika Gambia muungano wa upinzani ukiongozwa na Adama Barrow wamemshinda rais wa nch hiyo Yahya Jammeh, kwa hapa bongo kinachotakiwa ni kuungana vyama vyote vya upinzani ili kuwa na nguvu za pamoja ingawa zipo changamoto za kuunganisha vyama hasa unapokuwa na wapinzani aina ya Dovutwa na Lipumba, Kiuhalisia Ccm imeshachokwa ila upinzani nao wamekuwa wanashindwa kuweka mikakati sahihi ila naamini safari hii kwa kuwa Chadema wamempata mtaalam wa mikakati mr Lowassa 2020 ndio mwisho wa ccm huo ndip ukweli mchungu kwa chama cha mapinduzi.
hawa hawa toi, zanzibar case ipo wazi....hawana nia ya vyama vingi ni gia tu ya misaada,
watafanya kila kitu lakini hawatoi hata kama 80% itasema NOOOOOOOOOO
 
DAFU NA NDIMU

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,456
2,000
Kwa USA, ni kawaida kubadilishana. Kabla ya Democrats (Kipindi cha Obama) walikuwepo Republicans.

Kama kutakuwepo na tume huru ya uchaguzi, upinzani nchini TZ wanaweza kushinda lkn kwa tume hii sijui. Pia wajipange kuwapa watu wa vijijini elimu ya uraia ili kuwaondoa hofu ya kuchagua upinzani maana wengine huamini kuwa kuuchagua upinzani ni kuleta vita
 
Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,464
2,000
Sasa ni wakatika kwa vyama vya upinzani kupokea kijiti Kutoka kwa CCM ifikapo 2020, ingawa CCM haiko tayari kuona nchi inatwaliwa na upinzani kutokana na mazowea na ulevi wa madaraka ambayo wamekuwa nayo kwa miaka mingi, kumekuwa na vuguvugu la vyama vya upinzani duniani kupata ushindi wa kushitusha, wote tumeshuhudia Donald Trump Republican alivyombwaga Hilal Clinton wa Democratic ambacho ndicho chama tawala kwa miaka nane, Rodriigo Dutete wa Philipins, Nana Akufo Ado kamshinda John Mahama raisi anayemaliza muda wake huko Ghana.

Kadhalika Gambia muungano wa upinzani ukiongozwa na Adama Barrow wamemshinda rais wa nch hiyo Yahya Jammeh, kwa hapa bongo kinachotakiwa ni kuungana vyama vyote vya upinzani ili kuwa na nguvu za pamoja ingawa zipo changamoto za kuunganisha vyama hasa unapokuwa na wapinzani aina ya Dovutwa na Lipumba, Kiuhalisia CCM imeshachokwa ila upinzani nao wamekuwa wanashindwa kuweka mikakati sahihi ila naamini safari hii kwa kuwa CHADEMA wamempata mtaalam wa mikakati mr Lowassa 2020 ndio mwisho wa CCM huo ndip ukweli mchungu kwa chama cha mapinduzi.
Huwa hakuna muungano ndani ya vyama vyenye wasaliti ndani yake,kuungana yapasa kujifunga mkanda kwelikweli na kuweka njaa pembeni kuamua moja ,kitu ambacho kwa tanzania ni ngumu sana kutokea na kufanikiwa.
 
Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
5,621
2,000
Sasa ni wakati mwafaka kwa vyama vya upinzani kupokea kijiti Kutoka kwa CCM ifikapo 2020, ingawa CCM haiko tayari kuona nchi inatwaliwa na upinzani kutokana na mazowea na ulevi wa madaraka ambayo wamekuwa nayo kwa miaka mingi, kumekuwa na vuguvugu la vyama vya upinzani duniani kupata ushindi wa kushitusha, wote tumeshuhudia Donald Trump Republican alivyombwaga Hilal Clinton wa Democratic ambacho ndicho chama tawala kwa miaka nane, Rodriigo Dutete wa Philipins, Nana Akufo Ado kamshinda John Mahama raisi anayemaliza muda wake huko Ghana.

Kadhalika Gambia muungano wa upinzani ukiongozwa na Adama Barrow wamemshinda rais wa nch hiyo Yahya Jammeh, kwa hapa bongo kinachotakiwa ni kuungana vyama vyote vya upinzani ili kuwa na nguvu za pamoja ingawa zipo changamoto za kuunganisha vyama hasa unapokuwa na wapinzani aina ya Dovutwa na Lipumba, Kiuhalisia CCM imeshachokwa ila upinzani nao wamekuwa wanashindwa kuweka mikakati sahihi ila naamini safari hii kwa kuwa CHADEMA wamempata mtaalam wa mikakati mr Lowassa 2020 ndio mwisho wa CCM huo ndip ukweli mchungu kwa chama cha mapinduzi.
Kabisaaaa mnataka mkabidhi mafisadi papa nchi hii.. hata Mungu atawalaani ikitokea! na tunasema kama wananchi wataamua hivo basi Mungu ailaani tu nchi hii. Full stop. Hakuna jingine. Hatuwez mchezea Mungu namna hii. Utakua ni upumbaf na ulofa
 
DAFU NA NDIMU

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,456
2,000
Huwa hawabadilishani! Huwa kila chama kina shinda kwa nafasi yake, na matokeo ya ujumla ndiyo yanaamua mshindi.
Tume ni huru siku zote.
Wanaamini bado hakuna mbadala wa CCM.
Ulivyokuwa umeliweka ni kana kwamba Republicans ndo wamefanikiwa safari hii kama ilivyotokea Ghana, Zambia, n.k lkn kumbe hubalishana kupitia sanduku la kura.

Kwa hiyo upinzani wamekuwa wakilalamikia kuwa tume haiko huru kwa kutuzuga watz? Nadhani Uhuru wa tume huhusisha nani anawateua viongozi wa tume. Hilo tu inatosha kumfava aliyewapa ulaji.
Hiyo imani kuwa cccm haina mbadala inaondoa uhuru wa kifikra.

Uhuru huu haupambanuliwi ktk kutangaza matokeo tu bali ktk hatua zote za uchaguzi.
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,131
2,000
Sio jambo rahisi sana kuitoa CCM...tena wakati huu ndio ugumu umeongezeka maradufu...

Watanzania ni wale wale wala huwa hawataki kuthubutu...
 
DAFU NA NDIMU

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,456
2,000
Kabisaaaa mnataka mkabidhi mafisadi papa nchi hii.. hata Mungu atawalaani ikitokea! na tunasema kama wananchi wataamua hivo basi Mungu ailaani tu nchi hii. Full stop. Hakuna jingine. Hatuwez mchezea Mungu namna hii. Utakua ni upumbaf na ulofa
Hivi viongozi wa serikali mafisadi wanatoka upinzani?
Mbona hawakamatwi wakafikishwa kwenye mahaka ya mafisadi?
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,058
2,000
Mnaota nyie, CCM haing'oki kwa sanduku la kura hata siku moja.
Sio jambo rahisi sana kuitoa CCM...tena wakati huu ndio ugumu umeongezeka maradufu...

Watanzania ni wale wale wala huwa hawataki kuthubutu...
Shida yetu ni kukataa kufa wakati tunataka kwenda peponi
-Kama haiwezekani kwa kura na njia mbadala je ?!.
-Huo ugumu mnaouona ni kwa sababu ya uelewa mdogo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom