Mzee wa Masauti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 2,199
- 2,514
Tatizo ni magufuli kivipi? Any way utajificha kwenye kivuli cha kutokamilisha jina ila dhamira yako inaonekana wazi unakusudia nini!
MTU alaumiwe kwa lawama za dhahiri sio mihemko ya matukio na hali bei ya sembe inapaa tatizo ni magufuli sawa na siku mkisikia vifaru vya adui vinaikaribia nusu ya nchi tokea upande wa adui mtamlaumu nani kama mpk sembe mnamlaumu magufuli mwacheni huyu mzee apige kazi kuna mambo ya kumnyoshea kidole yeye moja kwa moja ila mengine hapana baada ya miaka mitano tutampima tena ila kwasasa anafanya vema labda kwenye Uhuru wa kutoa maoni hapa ndio anapokosa kredit ila mengine hapana tuwe wazi.
Nukuu ya Mwl Nyerere '' utii ukizidi unakua UOGA, uoga huzaa UNAFIKI na KUJIPENDEKEZA mwisho wake ni MAUTI ''
Acha unafiki kwenye hili mkuu, Magufuliii ni wa kulaumiwa tu kwenye hili ameshindwa kushusha bei ya sukari alioipandisha mwenye kwa kisingizio eti imefichwa kumbe ni uongo.
matokeo yake wananchi ndo wanataabika. vivohivyo kwenye unga.
kuna ombwe kubwa la uongozi awamu hii ya tano