Ni heri ya Lowassa!

Ni heri ya Lowassa,

Ni heri kabisa huyu kiongozi ambaye ametumia theluthi mbili ya maisha yake kwenye uongozi wa kisiasa, hana shida, hana tamaa, hana wivu na wenye nacho, hana lugha mbaya,hana vitisho, hana mabishano na hana maneno mengi.

Uongozi wa Lowassa usingeweza kuwaita wanadamu mashetani never, hana tabia hivyo na haijawahi kusikika! Si mtu wa lugha lukuki,ispokua maneno machache kazi kwa sana.Asingeweza kuona watumishi wakilia na maslahi duni ya kazi zao huku maisha yakipanda kila kukicha.

Ni heri mwizi tunayemjua akatubia maisha yasonge mbele kuliko kuishi katika hofu,taharuki, kukosa Uhuru w kutoa maoni na kujadili taifa letu.Nchi inaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria isingiwezekana Lowassa akavuka mpaka yake ya uongozi.

Kwa uvumilivu wa kisiasa aluokwisha uonesha umma na dunia juu ya figisu figisu wakati wa Uchaguzi mkuu 2015, isingewezekana kwa kiongozi mwingine kuvumilia haya. Pia kwa hakika utulivu uliopo Zanzibar kwa sasa nina uhakika kua upo mchango Mkubwa sana wa kiongozi huyu na nadhani matunda yake tutayashuhudia.
Unajua tofauti kati ya NDOTO na JINAMIZI?
 
huyo ambaye hayumo ni utumbo gani anaufanya hapa nchini? kazi kutumia nguvu kuliko akili
Unatia huruma kwa aina ya mawazo haya uliojaza kichwani. Kwa hili, umetumia akili au ni emotions zinakuongoza? Sielewi una uelewa kiasi gani kuhusu maswala yanayokuzunguka ila nikupe pole tu. Labda unaandika ukiwa kwenye usingizi mzito.
 
Na mkome kiherehere chenu, si mlisema ni jembe, cjui bulldozer? Bht mbaya jemba au bulldozer halinaga macho linakata kokote tu. Safi sana, mimi huu mnyoosho naufurahia mpk akili itakapoturudia.
 
Wewe huna akili kabisa, Castro alikuwa na uzuri gani?
aliwafanya wa Cuba waishi Kama mashetani Kama jamaa yako juma, Cuba ikageuka na kuwa magofu, mamia ya wa Cuba wakawa wanakimbilia Marekani na wengine kuzama baharini.
aliimarisha jeshi ili asipinduliwe.
Castro hakuwa na uzuri wowote, aliingia madarakani Kama mkombozi wa wacuba lakini akawageuka na kuwa mwiba, hiyo ndo kawaida ya Madikteta wengi duniani, akawanyima Uhuru wa habari wananchi na kubakiza vyombo vya serikali tu.
Nyie mitoto mliozaliwa miaka ya 1980 akili zenu ni za kushikilia na superglue.
hamjitambui kabisa.
Uko kwa Fidel Castro tuachane nako kwakua tayari ni hayati afu hawezi kua suluhisho la mahitaji ya watanzania
Ishu pekee ya kuisaidia Tz now is to bring back our lost freedom of speech & expression.
 
Ni heri ya Lowassa,

Ni heri kabisa huyu kiongozi ambaye ametumia theluthi mbili ya maisha yake kwenye uongozi wa kisiasa, hana shida, hana tamaa, hana wivu na wenye nacho, hana lugha mbaya,hana vitisho, hana mabishano na hana maneno mengi.

Uongozi wa Lowassa usingeweza kuwaita wanadamu mashetani never, hana tabia hivyo na haijawahi kusikika! Si mtu wa lugha lukuki,ispokua maneno machache kazi kwa sana.Asingeweza kuona watumishi wakilia na maslahi duni ya kazi zao huku maisha yakipanda kila kukicha.

Ni heri mwizi tunayemjua akatubia maisha yasonge mbele kuliko kuishi katika hofu,taharuki, kukosa Uhuru w kutoa maoni na kujadili taifa letu.Nchi inaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria isingiwezekana Lowassa akavuka mpaka yake ya uongozi.

Kwa uvumilivu wa kisiasa aluokwisha uonesha umma na dunia juu ya figisu figisu wakati wa Uchaguzi mkuu 2015, isingewezekana kwa kiongozi mwingine kuvumilia haya. Pia kwa hakika utulivu uliopo Zanzibar kwa sasa nina uhakika kua upo mchango Mkubwa sana wa kiongozi huyu na nadhani matunda yake tutayashuhudia.
USITUDANGANYE!
 
Na mkome kiherehere chenu, si mlisema ni jembe, cjui bulldozer? Bht mbaya jemba au bulldozer halinaga macho linakata kokote tu. Safi sana, mimi huu mnyoosho naufurahia mpk akili itakapoturudia.
Hakuna aliyekataa hayo yote but Lowassa is the best.
 
Nenda kapitie list of shame ya Lisu kama hayumo
Huo ndo uzuri watz wanacholalamika hawajui na wanachokikubali pia hawakijui na wanakuwa wepesi wa kusahau na kuzoea kukaririshwa-leo hii wamesahau mwembehanga kanakwamba hawajawahi kuishi tz, leo mtu anapanua domo lake na kusema mzee yuko poa sana na angeongoza vizuri, na kama yy ni mtu wa maendeleo miaka 2o akiwa waziri ktk nafasi mbalimbali, jimbo lake halina maji hata kidogo-leo anahimaiza maji -eti huyo ndo kiongozi.
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Unamlilia Edward Lowassa!, Kweli Watanzania ni wepesi kusahau.
Mara hii mshasahau kero zilizo shamiri sana za awamu zilizopita kama Rushwa, Ufisadi, Wizi, Ajira za upendeleo, Matumizi mabaya ya fedha za serikari, Uzembe wa watumishi wa uma, Uwepo wa viongozi dhaifu wanao shindwa kufanya maamuzi magumu, Kukosekana kwa uzalendo, Kila mtu kujidai afisa wa ikulu au usalama wa taifa.
Raisi Magufuli anaweza kuwa na mapangufu lakini si hadi kumkumbuka mtu kama Edward Lowassa
Pia naiomba serikari impatie basi dhamana Maxcence Mello
We jamaa bana sasa hapo kwenye ajira za upendeleo si ni bora watu walikua wanapata ajira, sasa hivi ndo upendeleo umezidi eti wanapewa tu makada wa chama cha kijani na waliosoma sayansi. bora kipindi cha ufisadi watu walikua wanaishi maisha mazuri kuliko saivi maskini tunavyoteseka.
 
Wewe huna akili kabisa, Castro alikuwa na uzuri gani?
aliwafanya wa Cuba waishi Kama mashetani Kama jamaa yako juma, Cuba ikageuka na kuwa magofu, mamia ya wa Cuba wakawa wanakimbilia Marekani na wengine kuzama baharini.
aliimarisha jeshi ili asipinduliwe.
Castro hakuwa na uzuri wowote, aliingia madarakani Kama mkombozi wa wacuba lakini akawageuka na kuwa mwiba, hiyo ndo kawaida ya Madikteta wengi duniani, akawanyima Uhuru wa habari wananchi na kubakiza vyombo vya serikali tu.
Nyie mitoto mliozaliwa miaka ya 1980 akili zenu ni za kushikilia na superglue.
hamjitambui kabisa.
Well said
 
Dah! nyie washabiki wa vyama huwa mnatuboa sana sie wengine.
Sasa umetumwa uje kwenye huu uzi? Kama sio kiherehere ni nini, we kama uzi huupendi unaanzaje kufungua na kusoma halafu ukoment, swain.
 
LOWASSA.. KIONGOZI MWENYE HEKIMA YA KUJUA NINI CHA KUFANYA NA KWA WAKATI UPI. Nina mpenda lowasa angekuwa raisi sasa..

Akiwa Tabora, akasema watu hawana maji serikali inajisikia ufahari kununua Mandege kwa gharama kubwa, Mandege yenyewe mambobardier

#I Pray for you Mr. Lowasa uishi miaka Mingi uyaone matunda ya uliyoyatarajia.
Hivi mkuu kwa bahati tu upewe 200m kwa options 2.
1. Fungua biashara ya uhakika kwa mtaji huo wote.
2. Jenga nyumba nzuri sana ya kuishi wewe na familia yako kwa pesa hiyo yote.
Utachagua number 1 au 2?
Nina imani kwa mwenye busara atachagua no 2 coz kupitia hiyo biashara utaweza kujenga nyumba hata ya zaidi ya hiyo bei. Na kama utaamua kujenga nyumba maisha yako utayaendeshaje?
Kama una uelewa utakuwa umeelewa.
 
Ni heri ya Lowassa,

Ni heri kabisa huyu kiongozi ambaye ametumia theluthi mbili ya maisha yake kwenye uongozi wa kisiasa, hana shida, hana tamaa, hana wivu na wenye nacho, hana lugha mbaya,hana vitisho, hana mabishano na hana maneno mengi.

Uongozi wa Lowassa usingeweza kuwaita wanadamu mashetani never, hana tabia hivyo na haijawahi kusikika! Si mtu wa lugha lukuki,ispokua maneno machache kazi kwa sana.Asingeweza kuona watumishi wakilia na maslahi duni ya kazi zao huku maisha yakipanda kila kukicha.

Ni heri mwizi tunayemjua akatubia maisha yasonge mbele kuliko kuishi katika hofu,taharuki, kukosa Uhuru w kutoa maoni na kujadili taifa letu.Nchi inaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria isingiwezekana Lowassa akavuka mpaka yake ya uongozi.

Kwa uvumilivu wa kisiasa aluokwisha uonesha umma na dunia juu ya figisu figisu wakati wa Uchaguzi mkuu 2015, isingewezekana kwa kiongozi mwingine kuvumilia haya. Pia kwa hakika utulivu uliopo Zanzibar kwa sasa nina uhakika kua upo mchango Mkubwa sana wa kiongozi huyu na nadhani matunda yake tutayashuhudia.
Msifuni lakini Urais hapati! Nchi haiwezi kufanyiwa majaribio kwa kuwapa Wapinzani!!
 
Back
Top Bottom