Recent content by mwananchi wa pemba

  1. mwananchi wa pemba

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

    Twende mbele turudi nyuma, huyu mwanamke ni mbaya aisee, alafu sijui wanatumia vigezo gani kuchagua mshindi. Naskia ana degree lakini umri wake ni 18 (elimu ya bara ) #wacha vituko viendelee [emoji28] [emoji28]
  2. mwananchi wa pemba

    JamiiForums Tanzania Una Uwezo wa Kuzungumza Lugha Ngapi?

    Kiswahili , kifaransa , kiarabu , english
  3. mwananchi wa pemba

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kuwatoza kodi wenye nyumba za kupangisha unahitaji tahadhari na umakini mkubwa

    Kua na vyanzo vingi ndio haina maana kuacha vyanzo vingine , kama ni biashara inabidi ilipiwe kodi ...
  4. mwananchi wa pemba

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kuwatoza kodi wenye nyumba za kupangisha unahitaji tahadhari na umakini mkubwa

    Shida yA wabongo mnataka mabadiliko lakini hampo tayari kwa mabadiliko, kila Kitu kipya nikulalamika tu, kupangisha nyumba ni biashara kama biashara nyingine tena yenye umuhimu mkubwa ,..Sasa kwanini serikali isianze kukusanya kodi? Cha msingi niku deal na madalali kwakuweka bei elekezi kutokana...
  5. mwananchi wa pemba

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya kilokoke kudhibitiwa

    Wakristo wanakesha wanapigia watu kelele , bar za mtaani zinakesha nA mziki zinapigia watu kelele, waislam tunaamshana Usiku kuswali tuna amsha na wasio usika ... Haya mambo yote ya angaliwe kwa upana lasiivyo italeta hali yA uonezi
  6. mwananchi wa pemba

    JamiiForums Tanzania Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

    eti ninapo abudu....
  7. mwananchi wa pemba

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumpeleka mtoto mdogo (3-12yrs) shule ya bweni?

    Unatengeneza MASHOGA tu ...watoto ndio wana haribikia huko
  8. mwananchi wa pemba

    JamiiForums Tanzania Dr. Rutengwe afunguka, asema acha watanzania wazungumze (Audio)

    Wewe jamaa unamuita failure Mtu usie mjua, huyo Dr anavitabu vingi Na thesis za kilimo ...piA ana mashamba makubwa sana Na shughuli zingine binafsi....enhe Wewe Ndugu Yangu una nini ? Acha KUA judgemtal
  9. mwananchi wa pemba

    JamiiForums Tanzania Tamko la ACT-Wazalendo juu ya kusitishwa misaada ya MCC

    Daaa Mtu wangu kwako swala la Uchumi lilikupita kushoto kabisaaaa ....kwaiyo kuchapa Fedha ndio suluhisho la kupata pesa? Kama ndio ivyo nchi gani ingekua maskin! Nadhani unahitaji elimu Zaidi yA pesa Na Uchumi
  10. mwananchi wa pemba

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu naye ni wa HAPA KAZI TU?

    Kwani hamjui kazi yA makamu wa rais ? ...Ni kukata utepe kufungua miradi mbalimbali kwA Jina lingine NI cheo cha mkasi wala hakihitaji akili nyingi
  11. mwananchi wa pemba

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na elimu inayotolewa Kampala International University tawi la Dar

    Ushauri wa bure : USIMPELEKE NDUGU YAKO AU MWANAO UDOM. Hata maofisini hua hatuchukui watu wa huko tena , elimu yao ni mbovu , wanatoa mambumbumbu yani Mtu anakuja na GPA nzuri ila kichwani hamna kitu... Kama mtoto amepata Alama nzuri bora uangalie vyuo vingine
  12. mwananchi wa pemba

    JamiiForums Tanzania Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

    Anae toa kauli hana ata cheo cha ukuu wa kaya
  13. mwananchi wa pemba

    JamiiForums Tanzania Kufika kileleni kwa kutumia Panadol na Konyagi

    Tumia maji yA betri Na limao
  14. mwananchi wa pemba

    JamiiForums Tanzania Ushauri; Diamond Anaelekea Kuvunja Ndoa Yangu.

    Mwanaume wa dar
Back
Top Bottom