Nina wasiwasi na elimu inayotolewa Kampala International University tawi la Dar

Huo ni uongo wa dhahiri mm ni mwanafunzi wa UDOM lakini hiyo elim unasema eti inatolewa chini ya kiwango ni uongo kwasasa udom kwasasa ni moja ya chuo inayotoa elimu ngumu na inatoa product za ukweli hasa wanafunzi wa afya na informatics wanasifiwa kila sehem waendayo usipost kitu ambacho huna ushahidi nacho sis ni watu wazima usilete uongo kwa chuki zako binafsi
 
umevamia kambi Mzee wanasema Kampala international nursary dsm
 
Huo ni uongo wa dhahiri mm ni mwanafunzi wa UDOM lakini hiyo elim unasema eti inatolewa chini ya kiwango ni uongo kwasasa udom kwasasa ni moja ya chuo inayotoa elimu ngumu na inatoa product za ukweli hasa wanafunzi wa afya na informatics wanasifiwa kila sehem waendayo usipost kitu ambacho huna ushahidi nacho sis ni watu wazima usilete uongo kwa chuki zako binafsi

Kama hukusoma udsm barchelor yako sio halali
 
Hvi ambao degree zenu sio za udsm,huwa mnajiskiaje,mioyo yenu ina amani kweli?
 
Kiu pesa kwanza mengine wataangalia baadae mpaka hkl wanachukua course ya medicine
KIU=PESA
 
Siyo chuki mkuu, mm ni mwalimu pale. Naumia sana kuona uduni wa ufundishaji pale, nikilinganisha na chuo nilikotoka. Na pia naumia sana na quality ya wanafunzi tunaoletewa pale.

Kama una access ya mwalimu yeyote wa UDOM, jaribu kumpeleleza
Basi hata wewe ni kilaza, kama si kilaza huwezi pelekwa kwa vilaza na siamini kama wewe ni Mwalimu UDOM. Sema unafundisha nini mimi nikuchallenge.
 
Siyo chuki mkuu, mm ni mwalimu pale. Naumia sana kuona uduni wa ufundishaji pale, nikilinganisha na chuo nilikotoka. Na pia naumia sana na quality ya wanafunzi tunaoletewa pale.

Kama una access ya mwalimu yeyote wa UDOM, jaribu kumpeleleza
unaongelea udom department gani...au facult gani inatoa wanafunzi incompetent...usiingize siasa zako hapa...hakuna mwanafunzi kilaza anachaguliwa udom...mara nyingi tcu huchukuwa wanafunzi wenye ufaulu mzr na kuwapeleka vyuo umma kikiwemo udom
 
HAPO KWENYE RED: You may be right, lkn kumbuka kuwa UDOM ni kama chuo cha ccm kiutawala (ingawa majority ya wanafunzi na workers ni CDM), kwa hiyo maagizo ya ki-ccm yapo mengi, na haya yaingilia uhuru University. Ningeweza kukupa mifano hai lkn naogopa ku-disclose my identity.

Ndugu zako hawalalamiki huenda kwa sababu hawana alternative. Walalamike ili wakapate wapi degree? Wengi wa wanafunzi wanaokuja UDOM ni vilaza, na bahati mbaya wanakuta walimu ambao actually bado hawajawa walimu!! I hope you know what I mean.

yani kama wewe sio ndugu yake FILIPO MWAKIBINGA nina uhakika wewe ndo MWAKIBINGA mwenyewe haswa.. hujitambui
 
Ushauri wa bure : USIMPELEKE NDUGU YAKO AU MWANAO UDOM. Hata maofisini hua hatuchukui watu wa huko tena , elimu yao ni mbovu , wanatoa mambumbumbu yani Mtu anakuja na GPA nzuri ila kichwani hamna kitu... Kama mtoto amepata Alama nzuri bora uangalie vyuo vingine
 
:shut-mouth:katika principles za vyuo hakuna chuo kinachochukua div 0 sasa wew uliza huyo ndugu yako alitoa wap vyeti vya kumuwezesha msichafulie vyuo majina nenda CBE dar na dodoma kaone madudu dogo no research no right to talk acha kutapikia nyuma wew mdomo una kazi yake sawaaaaa
Mkuu mbona umetapika hivyo, unahusika nini? BTW ungesema "shut your mouth" kuliko "shut mouth".
 
Back
Top Bottom