and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,325
- 36,121
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la Saudi Arabia, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya Ulaya (majina kapuni), Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/ afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar).
Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.