Recent content by MwanaMfalme

  1. M

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu bora TZ ni kipi kwa kusomea Uhasibu au Biashara? - ni UDSM, Mzumbe au IFM?

    Ha ha haaa pole ndugu mwenye macho haambiwi Tazama,nadhani umaarufu,ukongwe ndio umechangia nyie kubaguliwa hapa,
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea binafsi Tanzania: Tatizo ni nini?

    Wadau mimi naona mgombea binafsi anaweza kufaa kuliko hivi vyama vya siasa ambapo viongozi wengi wamejawa na unafiki hawawezi kusimamia haki za Watanzania na kuzilinda raslimali za taifa,siamini kama kuna chama chenye watu wenye nia ya kweli na ya kuikomboa Tanzania na ujinga na umaskini na maradhi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Babyface..huyooooooo

    Duh,mjusi mkubwa!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yatoa onyo kali kwa msafara wa Rais Obama Dar Es Salaam

    Ulinz ni sawa lakini ukianika ratiba nzima unatoa mwanya wa maadui zako kujiandaa na kutafuta pale udhaifu wako utakapoonekana,smtym magaidi wana mbinu ambazo wamefundishwa na wamarekani you see?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yatoa onyo kali kwa msafara wa Rais Obama Dar Es Salaam

    Yaani wamarekani wanathubutu kuanika Ratiba ya Raisi wao kwenye mtandao je wakiijua magaidi si itakuwa risk,
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge "Sugu" apata ajali ya gari!

    mabom ya machozi yananunuliwa kwa kodi za wananchi,chadema ndo wanaathirika zaid na haya mabom
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwelezee mpenzi wako uliye naye kwa neno moja

    Namwamini!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wamtaka Mbowe athibitishe Polisi walivyohusika katika mauwaji ya Arusha, la sivyo...

    Wanatumia nguvu nyingi kupambana na CDM badala ya kuzima kiu yetu kumjua mhusika aliyelipua bom,
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    Mimi naona kama snema vile duh.!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya CUF kwa yanayoendelea Arusha sasa hivi

    Bravo CUF!
  11. M

    JamiiForums Tanzania wanawake wa kipare

    Acha non-sense wewe,umefanya uchunguzi wapare ndo kabila lenye watu wafup zaid? Asilimia kubwa ya watanzania ni watu wafupi!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Press Conference CHADEMA Makao Makuu Leo tarehe 18/06/2013

    Ha ha haaa,au Rwekatare mpanga matukio anahusika hapa Duh!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Another Joke from Kikwete: Every student to have computer in five years time

    Mh ni kichekesho hapo mbona 5years to come hiyo technology itakuwa outdated? washindwe kuanza na maabara za computer wataweza hyo mifumo ya gharama,danganya toto hyo!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hellow wana JF.. Nipokeeni mgeni wenu.

    Karibu sana,
  15. M

    JamiiForums Tanzania Masanja: Nimevuna mpunga ekari 15 Mbarali Estate - Mbeya

    Big up Emma!
Back
Top Bottom