Mbunge "Sugu" apata ajali ya gari!

Mbunge "Sugu" apata ajali ya gari!

Pole mheshimiwa Sugu.
Mungu atakulinda uungane na wenzako Arusha
 
Cdm inapitia majaribu, lazima wana Cdm wote tusimame imara. Tupo nyuma yako kamanda, na pole sana kwa ajali. Tunakutakia recovery njema ili urudi kwenye mapambano. Wana Cdm na jamii yote wapenda amani, wapambanaji wote tutambue kuwa mara baada ya majaribu yote haya mwanga wa matumaini na ushindi unakaribia.
Lazima tukumbuke kuwa hakuna wapambanaji na wazalendo wa kweli waliopata uhuru bila mapambano ya kweli na ya kizalendo.
CCM wanajidanganya kwa kudhani wataendelea kuitawala Tanzania milele, au kwamba wataendelea kuitawala Tanzania kwa mgongo wa jeshi la polisi. Aluta continua!
 
Sasa kilichobaki kwa Kiongozi yeyeto wa Chadema awe Mbunge au mwingine lazima kuwa makini sana na hizi ajali nyingine zinapangwa kabisa sasa ni bora kama kuna njia mbili kwenda sehemu flani ukianzaia pale ulipotoka na watu wamekuona unaelekea let say Arusha kutoka Manyara sasa basi badala ya kutumia njia inayojulikana i mean High way ni bora ukakatiza nyia nyingine ili kuwapoteza maadaui maake wanafahamu fiki utapita High way so wanajiandaa hata kuegesha gari kweny kona kali then later watasema lilikuwa limepata ajali Ccm ni watu wabaya sana kuanzia sasa hata ndugu zangu ambao wako CCm siwaamini moja kwa moja maake hata siku nyingine huwaga tunapambana wenyewe kwa wenyewe na hii ni baada ya mie kuwashinda kwa hoja na wao wananilazimisha niwakubali kisa kwa kuwa wao wanashibia huko CCm watoto wao wanasoma kiaina kwa kauli taarifa Ulaya wanakwenda kusoma kwa ulaini sie wengine tukiuizia wanasema oooh alama zako hazijafikia kiwango wakati umempita mtoto wake kwa alama za juu zaidi.I hate CCm na washabiki wake
 
Pole Sugu, ni matumaini na maombi yetu kuwa hujadhurika na uko fit kuendeleza mapambano
 
Kweli ashukuriwe Mungu kama hajadhurika

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
nipo mpendwa wangu ila mitaa ya gt zaid but karibuni nitarudi uwanja wa nyumban
karibu arachuga, jiji la mabomu yatokanayo na uzandiki wa serikali. hawa jamaa ni wapuuzi sana yaani wanapiga mabomu mpaka hospitali!
 
Mungu mkuu.....pole mpiganaji sala za wana mbeya na watanzania wote wapiganaji Mungu anaziskia.
 
Back
Top Bottom