Recent content by mwanamby

  1. mwanamby

    JamiiForums Tanzania African Champions League Final: TP Mazembe Vs USMA - Nov 8, 2015

    Mbwanaaaa
  2. mwanamby

    JamiiForums Tanzania Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Isije kuwa za sakafuni!!!
  3. mwanamby

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA hawajafanya jambo la busara

    Bungeni wanaenda kutekeleza walichotumwa na wananchi wao, wakatae ubunge kwani wameteuliwa na rais
  4. mwanamby

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA hawajafanya jambo la busara

    Bunge linaongozwa na rais???
  5. mwanamby

    JamiiForums Tanzania Lowassa/Zitto Kabwe wapeleka kilio CCM

    Hiyo tume na katiba tutaiimba sana
  6. mwanamby

    JamiiForums Tanzania Kimara Mwisho: Majambazi wavamia maduka

    Wawadhibiti kama wanavyodhibiti maandamano ya chadema
  7. mwanamby

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Taarifa ya hitilafu ya umeme jiji la Dar es Salaam

    Mlilalamika mabwawa hayana maji imekuja mvua kuyajaza
  8. mwanamby

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA hawajafanya jambo la busara

    Matokeo hawajakubaliana nayo wahudhurie kufanya nini???
  9. mwanamby

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Sita nasikia anautaka uspika
  10. mwanamby

    JamiiForums Tanzania Rais John P.J. Magufuli, wanafunzi wa vyuo vikuu wanakusubiri uwasaidie

    Mlipewa multiple choice na mkachagua sasahivi kelele za nini???
  11. mwanamby

    JamiiForums Tanzania Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

    Watu ambao hawana msimamo hawafai kabisa na hawana faida ktk jamii, anzishisheni chama chenu sio kulialia kila siku chadema asilia. Mnajiita cdm asilia wakati hamtaki kuwa wa asili
  12. mwanamby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je wajua hii? Wanaume wavivu kupiga mswaki na kuoga ndiyo hupendwa mno na wapenzi wao

    Basi liharufu la mdomoni na ule unjano kwenye meno+harafu ya kikwapa ni limbwata kwa mwanamke
  13. mwanamby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji/wifi yenu simuelewi

    Ni pm namba yake nimshauri wewe huna tatizo
  14. mwanamby

    JamiiForums Tanzania Wa-vietnam kuwekeza Trillioni tatu kipindi cha uchaguzi!

    Usitegemee kitu kama hicho.... Utaambiwa hapa kazi tu au mbele kwa mbele
  15. mwanamby

    JamiiForums Tanzania Wabunge wateule CHADEMA wakutana hoteli ya Bahari Beach kupanga mikakati

    Kuna maswala mengine ambayo hayahusiani na ukawa ni ya kichama
Back
Top Bottom