Lowassa/Zitto Kabwe wapeleka kilio CCM

Lowassa/Zitto Kabwe wapeleka kilio CCM

Haya ni mafanikio kwa UKAWA..! Sasa kwanini kila mwana UKAWA ukikutana naye ana Huzuni kama vile hakuna chochote kilichopatikana? Lawama lukuki kwa Tume ya Lubuva kwamba imepika matokeo?Sasa tushike lipi? Ukawa imepigika au imepata mafanikio...!
Tanzania moja...tuungaanishe nguvu tuijenge Tanzania yetu. NI KAZI TU.
 
ndugu, kumbuka act haijaanza kuanzia sifuri. imeteka watu ambao tayari wanajua nini maana ya vyama vingi. waulize walioanza na sifuri mwaka 1992 walivyopata ugumu.

ukianza na chama kipya inakua ngumu sana kwako hata kama unajina
halafu act imekuja wakati. tayari kuna vyama 3 vyenye nguvu zaidi. kuliko wakati ccm tu ndio ilikua na nguvu
lakini sasa. ukipenya. kwa ccm utaikuta cdm. ukitoka hpo. cuf. wapo piya.

kinajaribu kupenya kwenye vyama ambavyo vimeota mizizi kabisa
 
Halmashauri ya KARATU na MOSHI Zimekuwa chini ya CHADEMA tangu mwaka 95 lakini mpaka sasa hizo Halmashauri hazina tofauti na zile zinazoongozwa na CCM.Ngoja tusubiri na hizo nyingine

CCM uwa mnahujumu Mipango yao. Nitakupa Mfano wa Manispaa ya Moshi walipitisha bajeti ya Kuwasomesha Wanafunzi wote bure wa Manispaa ya Moshi. Mkurugenzi akagoma akasema yeye anafuata SERA za ccm na si sera nyingine wakati ile ishu haikuwa ya kisera bali bajeti iliyoandaliwa kutokana na mapato ya ndani ya H/Moshi
Lakini Moshi mfano wa Manispaa bora Tanzania inayoongozwa kwa m[pangilo mzuri na usafi
 
Mafanikio haya ni robo tu ya walichostahili UKAWA. Wizi wa wazi wazi wa kura umefanyika mbele ya polisi wetu, inauma sana. Kafulila ameporwa ushindi wake, Wenje na yule wa Mbagala hali kadhalika. Hali ni hivyo maeneo mengi ya nchi na ndiyo sababu ya huzuni kubwa iliyo nchini kwa sasa.

Haya ni mafanikio kwa UKAWA..! Sasa kwanini kila mwana UKAWA ukikutana naye ana Huzuni kama vile hakuna chochote kilichopatikana? Lawama lukuki kwa Tume ya Lubuva kwamba imepika matokeo?Sasa tushike lipi? Ukawa imepigika au imepata mafanikio...!
Tanzania moja...tuungaanishe nguvu tuijenge Tanzania yetu. NI KAZI TU.
 
Nchi yote inatekeleza ilani ya uchaguzi ya ccm.kwisha
 
Nimeyasoma maoni yako, Langu swali ni hizi point mbili hapa chini:

2. CCM imenyang`anywauongozi wa majiji 4 kati ya majiji 5imebakiwa na uongozi katika jiji moja tu la Mwanza,. Majiji yafuatayo CCM nichama cha upinzani , Jiji la Mbeya, Jiji kuu la Dar-es-Salaam, Jiji la kitaliila Arusha na jiji la Tanga ambalo ilikuwa ni ngome yao, ngome imevunjwa.

3. Ruzuku ya CCM imepungua kwa 40% kutokana na kuraza rais alizopata , mgao wa ruzuku utakuwa 60 kwa 40 kwa maana 58% alizopataRais Magufuri kwa desilimali ya karibu itakuwa 60, na 39.8% ya kura za Lowassaalizopata kwa desilimali ya karibu itakuwa 40. Kwa hiyo CHADEMA imeinya`anyaCCM 20% ya ruzuku, je! Siyo maumivu hayo?

JEE USHINDI HUU UMELETWA NA LOWASA AU MUUNGANO WA UKAWA, UKWELIE NI KUWA UKAWA ILISHAJIJENGA VIZURI TUU LOWASSA ALICHOLETA NI VIJISENTI TUU.

JEE MGAO WA RUZUKU NA HIZO AUTHORITY KWENYE MAJIJI YATAGAWANYAJWE KATI YA VYAMA VINAVYO SHIRIKI NA KU FORM UKAWAA, THE VICTORY CAME AS A UNITED FRONT, AU KAMA KAWAIDA YA MBOWE , ATAWANYIMA HAKI VYAMA WENZA?????????????????????????????????
 
Kauharibu kwa kumuingiza Zitto.

Zitto anawatesa sana mioyoni....mlitamani afe kabisa kisiasa......sasa tunaenda kumuona tena bungeni akiwa na hoja za masuala zaidi.......nyinyi mtabaki na siasa za matukio....time will tell
 
Na nyie mna kilio kikubwa sana cha kukosa urais. Hivi miji mikubwa ndio Tanzania? Ccm ulitegemea dunia imesimama tumia akili kidogo kufikiri. Mna viti kaw ujumla havizidi 75 ccm ina 181 lkn kelele nyingiiii

Waulize kwanza waliopoteza wanajisikiaje ndio uone kwamba hamna lolote!
 
Hawa jamaa wawili kwa kweli kwa pamoja tunaweza kusema wamepeleka kiliomtaa wa Lumumba, waswahili husema kwa mjinga huenda kicheko lakini kwa mwelevu huenda kilio.

Ujio wa Lowassa UKAWA umepeleka kilio kikubwa sana CCM japo kuwa wanajikazakinyasa wanakufa na Tai shingoni. Majuzi Mh. January Makamba aliita waandishi wa habari na kujinasibu eti CCMimepata wabunge 176 mpaka sasa na kufanikiwa kugomboa majimbo 11 yaliyokuwa yawapinzani.

Sasa habu ona hapo chini kilio Lowassa alichokipeleka CCM ambacho Makamba hakupenda kutaja.

1. Viti maalumu vya CCM vimepungua kwa 40% toka 79bunge lilopita la10 mpaka 62 bunge la11. Wakati CHADEMA na CUF viti hivyo vimeongezeka haya ni maumivu makubwa

2. CCM imenyang`anywauongozi wa majiji 4 kati ya majiji 5imebakiwa na uongozi katika jiji moja tu la Mwanza,. Majiji yafuatayo CCM nichama cha upinzani , Jiji la Mbeya, Jiji kuu la Dar-es-Salaam, Jiji la kitaliila Arusha na jiji la Tanga ambalo ilikuwa ni ngome yao, ngome imevunjwa.

3. Ruzuku ya CCM imepungua kwa 40% kutokana na kuraza rais alizopata , mgao wa ruzuku utakuwa 60 kwa 40 kwa maana 58% alizopataRais Magufuri kwa desilimali ya karibu itakuwa 60, na 39.8% ya kura za Lowassaalizopata kwa desilimali ya karibu itakuwa 40. Kwa hiyo CHADEMA imeinya`anyaCCM 20% ya ruzuku, je! Siyo maumivu hayo?

4. Uongozi wa halmashauri ndiyo usiseme. Kabla yaLowassa halmashauri zilizokuwa zinaongozwa na wapinzani zilikuwa 5 sasahalmashauli hizo zimeongezeika na kufika 30, katika halmashauri hizo CCMwatakuwa bachbancher.

5. Kilio kikubwa zaidi ni cha Zitto Kabwe alichowapaCCM katika halmashauri ya Kigoma/ujiji. Katika halmashauri hii hakuna mkuu wawilaya au mkuu wa mkoa kutia pua, halmashauri hii ni mali ya Zitto Kbakwe kwamaana ya Meya hadi madiwani. Halmashauri hii mwenyekiti wa CCM au mkuu wawilaya au mkuu wa mkoa wataenda kufanya nini? Wakati wakuu hao wameng`ang`anakumnyang`anya Kafulila ubunge wake huku nyuma Zitto anachukua halmashauri ya mjini,shame on them

6. Kuna kilio manispaa ya Mtwara/Mkindani na Mtwaravijijini kwa Hawa Ghasia, huenda Umeya wa Shilingi na wa Ndazigula umeotambawa.

Haya ndo ilitakiwa Mh. January Makamba ayaseme katika kile kikao chawaandishi wa habari alichokiitisha.
We we sisi tunasema hapa kazi tu wewe unatwambia mambo ya majiji na alimashsuri, wezako wana Dora wewe unaangaika na alimashauri?
Fanya Kazi waza utatoaje maisha acha kuwa vuvuzera wa wanasiasa
 
Halmashauri ya KARATU na MOSHI Zimekuwa chini ya CHADEMA tangu mwaka 95 lakini mpaka sasa hizo Halmashauri hazina tofauti na zile zinazoongozwa na CCM.Ngoja tusubiri na hizo nyingine

Sio kweli kusema manispaa ya Moshi ilikua chini ya upinzani tokea mwaka 95. Ukweli ni huu manispaa ya Moshi ipo chini ya upinzani kwa baraza la madiwani kuongozwa na upinzani tokea uchaguzi wa 2010 na huu 2015
 
Hilo litatokea iwapo tu kutakuwa na Tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya ya nchi itakayotokana na maoni ya wananchi.
Ukumbuke kuwa Katiba ya sasa imempa mamlaka Rais wa nchi ambaye ndiye pia kiongozi mkuu wa chama chake tawala, kuteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi pamoja na wajumbe wote wa Tume hiyo.
Wakati huo huo Katiba hiyo hiyo inatamka kuwa Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi akishamtangaza mshindi wa kiti hicho cha Urais, basi hakutakuwa na mahakama yoyote hapa duniani itakayokuwa na uwezo wa kusikiliza shauri lolote la malalamiko kuhusiana na ushindi huo!
Hii ni sawasawa tuite tu kuwa nchi yetu ipo katika mfumo wa vyama vingi THEORITICALY BUT PRACTICALY IS STILL IN A SINGLE PARTY SYSTEM.

Hiyo tume na katiba tutaiimba sana
 
Kama wabunge 75, wanakutoa pofu ungekuwa umeshinda urais so adi Leo mgekuwa barabarani mnadeki tu, ukizoea kushidwa bwana,
 
Muhimu nani anaongoza nchi na bunge?

Nani anaunda serikali?
 
CCM uwa mnahujumu Mipango yao. Nitakupa Mfano wa Manispaa ya Moshi walipitisha bajeti ya Kuwasomesha Wanafunzi wote bure wa Manispaa ya Moshi. Mkurugenzi akagoma akasema yeye anafuata SERA za ccm na si sera nyingine wakati ile ishu haikuwa ya kisera bali bajeti iliyoandaliwa kutokana na mapato ya ndani ya H/Moshi
Lakini Moshi mfano wa Manispaa bora Tanzania inayoongozwa kwa m[pangilo mzuri na usafi

Chaggadema mizee ya lawama.Yaani budget na sheria ndogondogo zitungwe na baraza la madiwani halafu ziingiliwe tena na Mkurugenzi???
 
Kwenye ruzuku sidhani kama kuna mabadiliko makubwa kwa sababu Kikwete alishinda kwa 60% ya kura zilizopigwa 2010.

Na kwenye viti maalumu ni hivyo hivyo.
 
Halmashauri ya KARATU na MOSHI Zimekuwa chini ya CHADEMA tangu mwaka 95 lakini mpaka sasa hizo Halmashauri hazina tofauti na zile zinazoongozwa na CCM.Ngoja tusubiri na hizo nyingine

manispaa ya moshi unafananisha na halmashaur gani inayoongozwa na ccm?!!
 
Back
Top Bottom