Wabunge wa CHADEMA hawajafanya jambo la busara

Wabunge wa CHADEMA hawajafanya jambo la busara

acha viroja jibu hoja

Sio wabunge bunafsi wanachaguliwa kupitia chama. Na wa ccm wanapoungana kutetea serekali yao ni kwasababu ya uchama wao.

La pili, sio lazima wawepo, hakuba sheria inayowalazimu kuwepo. Maandamano mumewakataza, kugomea ni uhuru wao. Kwahio sio hoja hata kidogo. Juzi hapa mashabi wa ccm kidogo wawatoe roho Mengi na waandishi wake, kisa eti alikua anapendelea upinzani. Inaonekana ccm hawataki wapinzani japo tuna mfumo wa vyama vingi. Sasa wangekuja uwanjani ndo ingesaidia nini? Ili wazomewe au waje kufanya nini uwanjani?
 
Ifike mahali wananchi tujiulize hayo wanayoyafanya ni kwa faida ya nani hasa? je,ni nini wanachotaka kukifikisha kwa wafuasi wao kwa hayo wayafanyayo?

Ikiwa kila uchaguzi tunaambiwa ccm wameiba kura,je,hayo matukio wayafanyayo yanasaidia nini sasa? Kama wanataka wananchi washindane na serikali ni bora waseme ijulikane kuliko hayo wayafanyayo ambayo haieleweki maana yake nini.
 
Sio wabunge bunafsi wanachaguliwa kupitia chama. Na wa ccm wanapoungana kutetea serekali yao ni kwasababu ya uchama wao.

La pili, sio lazima wawepo, hakuba sheria inayowalazimu kuwepo. Maandamano mumewakataza, kugomea ni uhuru wao. Kwahio sio hoja hata kidogo. Juzi hapa mashabi wa ccm kidogo wawatoe roho Mengi na waandishi wake, kisa eti alikua anapendelea upinzani. Inaonekana ccm hawataki wapinzani japo tuna mfumo wa vyama vingi. Sasa wangekuja uwanjani ndo ingesaidia nini? Ili wazomewe au waje kufanya nini uwanjani?

Mkuu suala la upinzani hata hao wapinzani wenyewe nao hawapendi upinzani.
 
Jana Mh Rais alisema "Rais ni John Pombe Joseph Magufuli". Na kwa waliofika au kutazama mliona jibsi ambavyo board guard wa JK alivyohama kwenda kwa JPM. Hivyo mtu ahudhurie, asihudhurie, asuse; haibadili kitu. Wala yeye si muhimu kuliko kina Jacob Zuma. #SasaKaziTu
 
Watoto unawasumbua wakikua wataaacha ..manyumbu ya Mbowe yana shida sana, mie nqjiuliza kama kweli wanajua kususa ni kwanini hawakususia hata uchaguzi ili dunia iwaelewe kwambwa wako real?

Wanacheza na hisia za watu lakini ajabu wenye kuchezewa hisia zao hawatambui hilo.
 
Sio chaguo letu ndio maana wabunge wetu hawajaenda ni sawa hata wakitoka bungeni.

Hivi ni kwamba kura mlipiga Ukawa pekee au?!mtaumia sana kwa miaka hii mitano na hamtopata wa kuwabembeleza!!!
 
Mitizamo ya mitanzania mingine kama waganga Wa kienyeji...bungeni huendi kwa kuitwa na rais ...na hats wasipoenda tar 17,bado watakuwa wabunge na watawajibika kutekereza majukumu ya kibunge
 
Hata Dodoma bungeni wasiende vikao vyote sababu vitakuwa chini ya PM Atakayekuwa kateuliwa na Rais ambaye hawakubaliani nae.
 
Tatizo wanaburuzwa tu ngoja tuone kama watasusia na ubunge.

Unamaana gani kwa kusema ngoja tuone..kama watasusia na ubunge..ni kweli jf imevamiwa na low thinking capacity(LTC)"Great thinkers..ni wachache sana humu..wale wamechaguliwa na wananchi wakawakilishe bungeni..kuna umuhimu gani wa hao wabunge wa upinzani kuhudhuria sherehe za kuapishwa mtu ambaye hakushinda kihalali!..kura zimekuwa zikikamatwa kila mahali.is it logical kuhudhuria kuapishwa kwa mtu wa namna hiyo..jaribu kuwa critical kabla ya kuandika mkuu!
 
Siwezi ongelea uchaguzi wa tz sana kama mkenya lakini umenikumbusha Uhuru akiapishwa aliyeshindwa uchaguzi Raila na mgombea mwenza wake Kalonzo walikuwa eti south afrika 'holiday'.Nilichukizwa sana na tabia hiyo ya kitoto na isiyo ya kizalendo.Urais ni wa kuunganisha nchi yote kwa jumla haijalishi nani kaketi kwenye kiti hicho.

Hiyo inakua valid ikiwa tu huyo mtu kapatikana kwa haki.Sasa wewe mtu akuibie kura malori kwa malori alafu uhudhurie ili iweje?Lowasa ajikombi kama unavyodhani
 
Hiyo inakua valid ikiwa tu huyo mtu kapatikana kwa haki.Sasa wewe mtu akuibie kura malori kwa malori alafu uhudhurie ili iweje?Lowasa ajikombi kama unavyodhani

Mkuu umenena ya kweli lakini hayo yote hayajalishi,cha muhimu ni kwamba vifaa vya uongozi anavopewa rais akiapishwa vinasimamia umoja wa taifa na hamna faida ya kususia shugli muhimu kama hiyo sanasana kwa kiongozi.
 
Tarehe 17 sio mbali, ngoja tusubiri
 
Watoto unawasumbua wakikua wataaacha ..manyumbu ya Mbowe yana shida sana, mie nqjiuliza kama kweli wanajua kususa ni kwanini hawakususia hata uchaguzi ili dunia iwaelewe kwambwa wako real?

Hata huku Kenya kina raila na wenzake waliposusia kuapishwa kwa rais Uhuru baadae shugli muhimu za kitaifa zilipofika,kama madaraka dei ivi walijipata wanaingia uwanjani kwa aibu lakini wanajubilee hawakuwaonesha dharau walipata viti vya kwenye jukwaa vinawangoja kama kawaida.Haina faida kuonesha hasira zako kama kiongozi kwa kutupilia uzalendo wako kando.Hasira zikipungua watayakumbuka kwa aibu.
 
Mbona humzungumzii Maalim Seif, makamu wa rais wa Zanzibar! au yeye alienda!
 
Kweli mkuu,haina haja kina raila waliposusia kuapishwa kwa Uhuru kuna mtu alinena kitu kilichowauma sana,alisema watu wa upinzani walisusia kuja uwanjani waone moja kwa moja wakaamua wabaki manyumbani waone kwenye tv.Ni kweli maanake hivo ndivyo walivofanya macho yao yote yalikuwa kwenye tv wasipitwe!Sasa kususia kulifaidi nani?

Hapo sasa.
 
Hawatahudhulia ufunguaji wa bungu kwa sababu za kisheria,kwa kuwa wamesimamisha uchaguzi wa zanzibar.
 
Back
Top Bottom