Matokeo hawajakubaliana nayo wahudhurie kufanya nini???
Basi wakatae na ubunge.ni usanii tu kama 2010 mwishowe watamkubali tu
Matokeo hawajakubaliana nayo wahudhurie kufanya nini???
Basi wakatae na ubunge.ni usanii tu kama 2010 mwishowe watamkubali tu
hebu fafanua wamezuiliwa au wamegoma ?Wabunge hao wamezuiliwa kuhudhuria kwenye sherehe ya kuapishwa Rais Magufuli jambo ambalo halipendezi hata kidogo.
Swali kwao ni kwamba, kama leo wamegoma je, siku ya kulihutubia bunge tarehe 17 napo watagoma kwenda?
Wabunge hao wamezuiliwa kuhudhuria kwenye sherehe ya kuapishwa Rais Magufuli jambo ambalo halipendezi hata kidogo.
Swali kwao ni kwamba, kama leo wamegoma je, siku ya kulihutubia bunge tarehe 17 napo watagoma kwenda?
Hapa kazi tuu ukishindwa pita hivi...... Mpaka mjitambue kama watu wa k /njaro na Arusha
Usisahau Mbeya kiongozi
wabunge hao wamezuiliwa kuhudhuria kwenye sherehe ya kuapishwa rais magufuli jambo ambalo halipendezi hata kidogo.
Swali kwao ni kwamba, kama leo wamegoma je, siku ya kulihutubia bunge tarehe 17 napo watagoma kwenda?
Hata Dodoma bungeni wasiende vikao vyote sababu vitakuwa chini ya PM Atakayekuwa kateuliwa na Rais ambaye hawakubaliani nae.
Siwezi ongelea uchaguzi wa tz sana kama mkenya lakini umenikumbusha Uhuru akiapishwa aliyeshindwa uchaguzi Raila na mgombea mwenza wake Kalonzo walikuwa eti south afrika 'holiday'.Nilichukizwa sana na tabia hiyo ya kitoto na isiyo ya kizalendo.Urais ni wa kuunganisha nchi yote kwa jumla haijalishi nani kaketi kwenye kiti hicho.