Recent content by mwanadamalu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tujadili njia za kupata vitu bure

    Jamani mie ni mpenzi sana wa movie za wa philipino . Mfano The promise na nyingine nyingi . Je tawezaje kuzipata au kudiwnload. Ni TV episode.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu Diploma ya Clinical Officer, MUHAS

    Naomba kuuliza wakuu. Diploma hizi ili mwanafunzi achaguliwe anatakiwa apate matokeo yapi ya form four?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pata tigo 5gb- mwezi kwa buku tano tuu

    GB peke yake au na muda wa maongezi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Chai day naomba mtufahamishe nasi wadau wapya tupate kuhudhulia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada doctor

    Madhara gani? Nishawaona wa mama kama wa tatu walipata mtihani kama huo. Mtoto yuko safi na anakuwa vizuri. Tatizo labda kwenye kumnyonyesha.Subiri wataalamu waje.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Tissue Culture Banana

    Mkuu kwako naweza pata miche ya maize? MSPEASANT
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbegu za Nyanya aina ya Anna F1

    Habari wakuu. Jamani wapi naweza pata mbegu ya figiri
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tunauza magari kwa bei nafuu sana

    Una noah old model sr40?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Balo za mtumba

    Mkuu je wauza pia balo za grade A hasa viatu vya watoto?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo ili nipate mtaji wa kuanzisha kilimo

    Mkuu Malila naomba mrejesho please ulifanikiwa mtu wa kuungana nae? Nami naweza kuungana nawe? Ajira zetu hizi huwezi kutoka bila kujihusosha na kilimo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo, dhamana ni title deed ya kiwanja

    Mkuu kiwanja kipo mkuranga sehemu gani na kina ukubwa gani
  12. M

    JamiiForums Tanzania Android mega thread; Maswali, Tips and Tricks, Kila kitu kuhusu android

    Za leo wakuu. Nina tecno p5 iko slow ukifungua app wakati nina 8gb. Naomba maelezo ya utumiaji wa utorrent bila kuroot, mobogiene na GL to SD. Natanguliza shukran.
  13. M

    JamiiForums Tanzania MASHINE YA KUKANDIA UNGA KWA KIWANDANI BAKERY (Used)

    [COLOR=BLUE] Unazo ndogo za kutumia nyumbani[\COLOR]
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Mmepata wapi eneo? Mlianza lini? Je kile kikao chai (kufahamiana) bado kipo?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia rahisi ya ku-root simu

    Naomba unielekeze kudownload kwa kutumia computer. Maana simu ndio haiwaki. Tafadhali naomba uniwekee na link. Natanguliza shukran.
Back
Top Bottom