Jifunze njia rahisi ya ku-root simu

Jifunze njia rahisi ya ku-root simu

Huu uzi sitausahau na kila nikiuona moyo unanipasuka vibaya niliuwa Huawei yangu G610 na ilikuwa ina mwez mmoja tu, baada ya kumaliza ku root simu ikawa ina ji restart tu.
Mafundi wa kuflash wakaizimisha jumla hadi leo ipo ndani tu.

Nikweli kuroot kunaseza kusababisha matatizo ila ni very rare simu ilivyokuwa ina ji restart ungesema tungekusaidia huawei hakuna software ya kuflash so mafundi wa kibongo kwa vile wanatamaa wanalazimisha kutumia tools tofauti so wanasababisha hard brick yaan kufa kabisa ila inawezekana kuwaka tena chakufanya azisha uzi mm na wenzangu tutakusaidia kama ww unaweza vizuri kutumia computer kwa kila utakacho elekwezwa fanya hivyo ila usipende kupeleka cm kwa fundi kwanza weka uzi ikishindikana ndo utaambiwa ww kuwa na usb cable yako pc na interner connection basi pia unaweza ni PM
 
kuroot device yako ya android kunakufanya wewe ufanye cmu yako kitu chochote ni kama vile kuchakachua modem za tgo zitumie line zote ukiroot cmu unaweza kuingiza application kama avast antitheft ambayo inasaidia kumkamata mwiz wa cmu ukiibiwd pia unaweza kuwezesha hotspot na usb tether kwenye cmu ambazo hazina hizo features pia waweza kufuta apps na game kubwa ambazo umezikuta cmu ikiwa mpya na hazifutik kiufupi ukiroot cmu unaweza kufanya ya ziada mengi
Mkuu hii link naipakua kwenye handset yangu au kwenye pc?
 
kuroot device yako ya android kunakufanya wewe ufanye cmu yako kitu chochote ni kama vile kuchakachua modem za tgo zitumie line zote ukiroot cmu unaweza kuingiza application kama avast antitheft ambayo inasaidia kumkamata mwiz wa cmu ukiibiwd pia unaweza kuwezesha hotspot na usb tether kwenye cmu ambazo hazina hizo features pia waweza kufuta apps na game kubwa ambazo umezikuta cmu ikiwa mpya na hazifutik kiufupi ukiroot cmu unaweza kufanya ya ziada mengi
Mkuu nimefanikiwa kuinstore super user kwenye s2kupitia aragon ,what next ?kifupi sijui hasa kufanyia tweaks S2 yangu ,nini niondoe?kungiza and how? je hii inawezesha os upgrading from JB to let say kitkat?
 
Mkuu Shiny c,mi natumia Huawei y300-150,name I download app imekubali imenipa super su exploit zimekuja mbili tu Gandalf na aArgorn nikiselect inanipa ujumbe error #6 inakuwaje hapo
 
Try different stock rom mfano zenye multi csc zipo poa download odin yenye pit file kisha na rom ambayo ni multi csc

Naomba unielekeze kudownload kwa kutumia computer. Maana simu ndio haiwaki. Tafadhali naomba uniwekee na link. Natanguliza shukran.
 
Naomba unielekeze kudownload kwa kutumia computer. Maana simu ndio haiwaki. Tafadhali naomba uniwekee na link. Natanguliza shukran.

Download hii patch ya idm www.datafilehost.com/get.php?file=f636aba3
 
Naomba unielekeze kudownload kwa kutumia computer. Maana simu ndio haiwaki. Tafadhali naomba uniwekee na link. Natanguliza shukran.

Download idm setup hii hapa install ukimaliza nenda kwenye kwa chini kwenye saa utaona idm imetokea press right click then exit ukimaliza exract hyo crack kisha weka kwenye c: programs file then internet download manager then ipaste hapo then open kama ni yakupatch basi patch kama sio ya kupatch idm itafunguka
 
Naomba unielekeze kudownload kwa kutumia computer. Maana simu ndio haiwaki. Tafadhali naomba uniwekee na link. Natanguliza shukran.

Link ya setup ya idm hii hapa mirror2.internetdownloadmanager.com/idman621build14.exe?b=1&filename=idman621build14.exe
 
Mkuu nime install kwenye Tecno N7 imekuja hvyo kama kwenye picha nafanyaje kuendelea?
 
Attachments

  • 1413882186059.jpg
    1413882186059.jpg
    26.3 KB · Views: 162
Back
Top Bottom