Android mega thread; Maswali, Tips and Tricks, Kila kitu kuhusu android

Android mega thread; Maswali, Tips and Tricks, Kila kitu kuhusu android

Habari wakuu, nina galaxy s2 ya t-mobile, kila ninapo iwasha hotspot ile niweze kushare internet kwenye pc inagoma kabisa. Naomba msaada wenu wakuu
 
Habari wakuu, nina galaxy s2 ya t-mobile, kila ninapo iwasha hotspot ile niweze kushare internet kwenye pc inagoma kabisa. Naomba msaada wenu wakuu

Unahisi linachogoma ni simu au hiyo pc??jaribu kitu kimoja chukua simu ingine washa wifi ui search hiyo samsung kama utaiona jarib kuacces uone kama ita function...nataka kujua kama ni simt au iyo pc
 
jamani nina android e19 ila siwezi kupigiwa simu inakuwa bize tu nimecheki black list hakuna namba yoyote! Nisaidieni wandugu!
 
Kupitia uzi huu tujadiliane kuhusu operating system ya android. Jinsi ya kuboresha simu zetu.za android, tuulizane maswali wenye majibu walete. Tuambiane app nzuri na mambo kedekede kuhusu android

Za leo wakuu. Nina tecno p5 iko slow ukifungua app wakati nina 8gb. Naomba maelezo ya utumiaji wa utorrent bila kuroot, mobogiene na GL to SD. Natanguliza shukran.
 
mi my dream app android ni adobe photoshop nashangaa why watu hawaitaji

Then nyengine ni freemoneyfactory na appredeem hizi unadownload apps then kila apps average unapata 0.25 usd kwa app 4 unapata dola 1 then unazitoa kama amazon gift card au kwa paypal ya mipango.

Tell me more kwa freemoneyfactory na appredeem
 
Tapatalk 2-ukiwa na hii huhitaji kudownload jamiiforums app,
Mx video player,
Apollo music player,
Dolphin browser beta-ni nzuri kushinda Firefox cuz unaweza play games online,
Root explorer and Firefox browser..


Sent from my SGH-I897 using Tapatalk 2

Nsaidie, tapatalk na tapatalk 2 n mbili tofaut? And how can i link jamiiforums kwa tp2?
 
guys nimesikia next android version ni android L, sasa kama trend yao ni kuhusu msosi, hii L inasimama badala ya chakula gani? sijapata muda wa kupita pita mtandaoni ila kwa ambao mnajua itakuwa na vitu gani tuanze kupeana taarifa
chief-mkwawa, nurbert, NingaR na wengineo

Android lollipop, lakn weng sahz wanaita Android 5.0. Kama hz kitkat ni 4.4, jelly bean 4.3 kushuka, kuna ICS, Vanilla na nyngne huko chn
 
Last edited by a moderator:
wakuu naombeni nijuzeni na hili, hivi ni kweli android phones haziitaji anti-virusi apps?! maana kuna ubishi mkubwa hapa

Antivirus na battery saver ndo zaongoza kwa kumaliza betry, mie cztumii kabsa hzo. Con umuhm wake kwanza.
 
Wakuu habar zenu.. . Samahan sana nilikuwa na shida kidogo natumia tecno h6 nataka kuinstall whatsapp plus lakin inagoma nifanyejeee!! Msaada plz

Bila kuiroot hutoweza, hasa kama inatoa error ya "package with same name and conflicting signature already installed"
 
wakuu msaada wenu nimeupdate samsung galaxy s3 from sandwich tojerrybean 4.3 but after rebooting haiselect network operator it means nkipiga cm inaandika emergency calls only nimetry kufind solution mbalimbali lkn holaa:doh: mtu yeyote ambaye yupo familiar na hili tatizo msaada pleaseeee chief mkwawa @C6 Mwl.RCT Young master na wenginee woteeee msaadaaaa wenu tafadhali
 
Android 4.4.2 (KitKat) imeburn all other form of whatsapp so hata ukiroot hamna kitakacho saidia
 
Android 4.4.2 (KitKat) imeburn all other form of whatsapp so hata ukiroot hamna kitakacho saidia

I'll ban co android 4.4.2, ila WhatsApp wenyewe wameiban ictumike, japo kwa sasa kuna whatsapp + anti_ban... Lakin cjawah zitumia
 
kwa wapenzi wa games za sport ipo FTS15 full 3D,advance graphics,many features, kiufupi ni tamuu kuliko fifa15..alafu ni offline
 
Back
Top Bottom