MASHINE YA KUKANDIA UNGA KWA KIWANDANI BAKERY (Used)

TZ biashara

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
523
Reaction score
107
Hii ni heavy duty mixer kwa ajili ya Bakery kiwandani.Imetumika Uingereza lakini ipo katika hali nzuri sana.Kwa anaehitaji ipo Dar na bei ni milioni 3.5.Hii ni kiungo muhimu katika kiwanda kwa ajili ya kurahisisha kazi ya ukandaji unga.Inauwezo wa kukanda kama sikosei kiroba kimoja kinaingia lakini kwa uhakika ningeomba ukaiangalie.Kwa anaehitaji naomba piga namba hii 0773027777
!Blbnn+Q!2k~$(KGrHqUH-EUEtt50vHjjBLbtF5GSPg~~_12.jpg
 
Hii ni heavy duty mixer kwa ajili ya Bakery kiwandani.Imetumika Uingereza lakini ipo katika hali nzuri sana.Kwa anaehitaji ipo Dar na bei ni milioni 3.5.Hii ni kiungo muhimu katika kiwanda kwa ajili ya kurahisisha kazi ya ukandaji unga.Inauwezo wa kukanda kama sikosei kiroba kimoja kinaingia lakini kwa uhakika ningeomba ukaiangalie.Kwa anaehitaji naomba piga namba hii 0773027777
View attachment 80362

Unazo ndogo za kutumia nyumbani[\COLOR]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom