Tujadili njia za kupata vitu bure

Tujadili njia za kupata vitu bure

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,378
Nmeanzisha hii mada ili members tujumuike na tushare ideas jinsi gani tunaweza kupata bure au hata walau kupunguza gharama ya vitu ambavyo ni paid na sio free

MOVIES NA MIZIKI YA MAREKANI NA ULAYA
Kwa watu kama mimi tusioweza kumudu bei za movies nashauri mdownload software inayoitwa utorrent kisha muende kwenye website kama http://kickass.to/ na https://thepiratebay.se/

PAID APPLICATION NA GAMES ZA SIMU
Kwa wale wanaopenda application za kulipia ila hawana uwezo wadownload utorent kisha wawe wanatembelea torrent za huyu jamaa hapa 1.http://kickass.to/user/BarosanuXXL/uploads/ na 2.Cracked android apps free download, Apk free download, Application for android

MIZIKI YA KIBONGO
Kwa wale ambao hawana salio kule mkito wanaweza kutumia alternative kwa njia hii ... ingia youtube search mziki unaotaka then copy adress ya link kisha uipaste hii site YouTube to mp3 Converter then download mp3 yako

wadau ... endeleeni
 
kuna app ya blackmart alpha pia kuna hii site..appdroid.ws na kiboko yao kwa pc na android apps ni onhax.net
 
chochote unachoona kwako kishazoeleka yawezekana kwa mwingine ni kitu ambacho ni kipya kwake na kitamnufaisha sana..... kwa wale wanaopenda kudownload video za YouTube kwenye simu app ya tubemate inawahusu
 
Nmeanzisha hii mada ili members tujumuike na tushare ideas jinsi gani tunaweza kupata bure au hata walau kupunguza gharama ya vitu ambavyo ni paid na sio free

MOVIES NA MIZIKI YA MAREKANI NA ULAYA
Kwa watu kama mimi tusioweza kumudu bei za movies nashauri mdownload software inayoitwa utorrent kisha muende kwenye website kama http://kickass.to/ na https://thepiratebay.se/

PAID APPLICATION NA GAMES ZA SIMU
Kwa wale wanaopenda application za kulipia ila hawana uwezo wadownload utorent kisha wawe wanatembelea torrent za huyu jamaa hapa 1.http://kickass.to/user/BarosanuXXL/uploads/ na 2.Cracked android apps free download, Apk free download, Application for android

MIZIKI YA KIBONGO
Kwa wale ambao hawana salio kule mkito wanaweza kutumia alternative kwa njia hii ... ingia youtube search mziki unaotaka then copy adress ya link kisha uipaste hii site YouTube to mp3 Converter then download mp3 yako

wadau ... endeleeni

Kama unapenda kuficha masubiri ukiwa Online au kwa kutumia internet za ofisini na hautaki kujulikana unachokifanya waweza kutumia
Free VPN • 100% Free PPTP and OpenVPN Service

Labda VPN hairuhusu kuwa installed katika kifaa chako na kuna sites unataka kuzitembelea lakini wamezi block basi unajaribu Proxy ambazo ziko Free hapa
Free Proxy List ? Public Proxy Servers (IP PORT) ? Hide My Ass!
 
kuna open open source apps nyingi sana tena zenye ubora mkubwa kwa matumizi binafsi zinafaa sana. Badala kutumia pirated apps hizi zinaweza tumika.
 
Jamani mie ni mpenzi sana wa movie za wa philipino . Mfano The promise na nyingine nyingi . Je tawezaje kuzipata au kudiwnload. Ni TV episode.
 
kuna open open source apps nyingi sana tena zenye ubora mkubwa kwa matumizi binafsi zinafaa sana. Badala kutumia pirated apps hizi zinaweza tumika.

Zitaje na jinsi ya kuzipata
Ndio maana ya huu uzi
 
jaman naomben mnisaidie website ya kudownload philpinoz series
 
Back
Top Bottom