Mbegu za Nyanya aina ya Anna F1

Mbegu za Nyanya aina ya Anna F1

Mkuu nimekutumia no yake hawa jamaa wana mbegu nzuri sana za hybrid sasa hivi wana mbegu mpya ya kitunguu inaitwa Jambar F1 inatoa gunia 230 kwa eka mimi ntaipanda next month na wana mbegu ya hoho inatoa tani 20 kwa eka hizi hybrid wenzetu kenya wameshaanza sana kuzilima

Hapo kwenye bold nafikiri watu tunakuwa na makadirio makubwa kupita kawaida. Mtu anawekeza anaishia kuvuna 40 Kwa ekari inaumiza sana. Magunia 230 Kwa ekari nafikiri siyo practical ni theories to za watu kuandika.
 
Hapo kwenye bold nafikiri watu tunakuwa na makadirio makubwa kupita kawaida. Mtu anawekeza anaishia kuvuna 40 Kwa ekari inaumiza sana. Magunia 230 Kwa ekari nafikiri siyo practical ni theories to za watu kuandika.

Ni kweli hiyo ni theory ambayo assuming everything is perfect ni kweli itakupa hayo mavuno ila ki uhalisia kuna changamoto nyingi sana so unaweza ishia kuvuna 40 or 50% of that which is also not bad
 
Mkuu sidhani kama ni busara kuweka hadharani namba za mtu bila idhini yake atakaye kuwa serious anahitaji ntakuwa na MP,Na wewe nimekupm zicheki

kaka natafta saana hiyo Mbegu za Anna F1 naomba unitumie namba zao kwenye 0622243034
 
Ukizikosa hapo ni Pm nikupe namba ya jamaa wanakampuni ya kuuza mbegu wanazo hizo mbegu
Habari mkuu.. nitashukuru pia kama nitazipata hizi namba za hawa jamaa maana anna ndio the best soo far.. tafadhali naomba contact zao niweze kupata hizi mbegu mkuu.. natanguliza shukran
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom