Recent content by Mwambashi

  1. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Dk 88 mambo bado, Man U washapoteza mwelekeo
  2. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Dk 68 bado mambo magumu kwa Man
  3. M

    UEFA Champions League, Special Thread

    Naziona team zote za England robo fainali
  4. M

    Students relationship

    Jossey1979, umenikumbusha mbali sana.
  5. M

    Maximo needs to go

    Angekuwa kocha kweli mwenye uhakika na taaluma yake angekuwa ashaondoka huyu!!!!!!! Anajua kuwa akiondoka hapa bongo hawezi pata kibarua popote pale.
  6. M

    Wana JF, Hivi kuna tatizo gani kuoa mwanamke aliyekwisha zaa

    Mkuu kifaru, kwa upande wangu sioni kama kuna tatizo lolote, chamsingi hapa ni maelewano tu. Kaka yangu kaoa mwanamke aliyekuwa na mtoto, lakini maisha yao ukiyaona yanaendelea na familia yao ina furaha kabisa.
  7. M

    Utafanyaje kwenye situation kama hii?

    Kama dogo alishamega litakuwa tatizo tena kubwa tu. Kwanza kaka atakosa imani kabisa na ndugu yake punde anapokuwa na shemeji yake. Unajua mapenzi ni mchezo wa ajabu, unaweza ukakuta dogo na shemeji yake wakaanza kuvinjari kidogo kidogo na itakuwa hatari sana kwa ndugu hawa wawili. Ilishatokea...
  8. M

    CHELSEA vs MAN U…. Nani kuibuka mbabe j’pili?

    Hili game kutokana na jinsi team zote mbili zilivyo, natabiri kuishia kwa sare
  9. M

    Kama Mwalimu angerudi leo hii...

    Anayefuata kwenye katoon hii ni PM wetu, mheshimiwa Pinda
  10. M

    word of Advise

    Hili jamaa sio madame
  11. M

    Jengo la Kanisa la KKKT Mbezi Beach lafunguliwa rasmi

    Mungu awbariki washarika wote waliohusika katika kufanikisha ujenzi wa nyumba ya Bwana. Tunaomba mtuombee pia sisi washarika wa sinza ili nasi tuweze kufanikisha ujenzi wetu.
  12. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Vipi business idea ya Coaster umeachana nayo?
  13. M

    Mtoto afariki dunia baada ya kukeketwa

    Ukeketaji ni kinyume na haki za binadamu. Wote wana makosa ambayo ni ukeketaji na la pili ni kusababisha mauti. Kwani ndugu yangu kikwenu ukeketaji unaruhusiwa?????
  14. M

    Habari wanajamii

    Karibu sana!!!!!
  15. M

    Happy Birthday Arsene Wenger!

    Mzee tunataka kikombe chochote kikubwa msimu huu.
Back
Top Bottom