Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,350
Yaani akificha halafu huko mbeleni ikaja gundulika na huyo mshkaji ndo italeta bifu ila ktk hatua za mwanzo kabisa hizi amwambie asifiche, hakuna kibaya hapo
nausema ukweli haraka sana....halafu namtuma aseme na ndugu yake aache visa
Sawa bibie atamwambia kaka mtu kuwa mdogo wake aliwahi kumtongoza; kaka mtu ataaminije kuwa mdogo mtu hakula uroda endapo siku ya siku atagundua kuwa bi harusi hakuwa na bikira?
swala ni kusema tu ukweli kama mdogo wake mliwahi kukutana kipindi cha nyuma akarusha ndoana ikatoka bila kitoweo ndo sababu za bifu iliyopo
Hata kama dogo alikula tunda si tatizo sana,kwani amemuambia yeye bado sealed?Suala ni kusema ukweli tuu kwa sababu hayo yote yalitokea kabla hawajafahamiana.Madhara ya ukweli uwa ni madogo kuliko madhara ya uongo.Awe makini kwani ndo anajenga msingi wa ndoa yake sasa,akileta utoto kwishne.
Kama dogo alishamega litakuwa tatizo tena kubwa tu. Kwanza kaka atakosa imani kabisa na ndugu yake punde anapokuwa na shemeji yake. Unajua mapenzi ni mchezo wa ajabu, unaweza ukakuta dogo na shemeji yake wakaanza kuvinjari kidogo kidogo na itakuwa hatari sana kwa ndugu hawa wawili. Ilishatokea ishu kama hii mtaani kwetu, ila kaka mtu akaamua kuachana na demu wake baada ya kupewa ukweli kuwa dogo alikuwa anamega kabla ya wawili hao kujuana.Hata kama dogo alikula tunda si tatizo sana,kwani amemuambia yeye bado sealed?Suala ni kusema ukweli tuu kwa sababu hayo yote yalitokea kabla hawajafahamiana.Madhara ya ukweli uwa ni madogo kuliko madhara ya uongo.Awe makini kwani ndo anajenga msingi wa ndoa yake sasa,akileta utoto kwishne.
bwana kama dogo alikula tunda ni tatizo /kikwazo huwezi kushea penzi na ndugu jamani mtakuwa mnaangalianaje ndani ya nyumba ???
Firstlady Waswahili wanasema KIZURI UNAKULA NA NDUGUYO!!