Waanzishe wao tu sisi tunakuja kusoma testimonies hapa , kupongeza na kuwish utumishi waliopata , kupeana pdf za ajira na kifupi Uzi wa wasaka ajira afu mwingine analeta elimu... Ni mamluki huyu anapoteza uelekeo wa Uzi huu😄
Mimi ningeshauri huu trend mpya ya kujadili nje na Uzi huu ingeachwa , wewe unayetoa elimu anzisha Uzi mwingine acha kuchanganya watu waliokuha kupeana faraja na moyo apa Kwa juhadili mshahara wako wa laki 7 au laki 380 hapa unawatesa ambao hata buku ya bando kipengele. Kula laki 7 Yako na mmeo...
Nimeelewa
Kwenye app selected for oral ..means utapangiwa, selected for null maana umefaulu ila upo database subiri tu. But not selected for ....means out .jipange upya
Status yangu app ipo not selected..Wacha nami nikubali mapema kwamba nijipange na nyingine tu. Kwenye web ipo selected but app ipo not selected, so Kwa uzoefu wenu nmi nimekubali mapema kuwa nijipange zaidi Kwa nafasi ijayo
Nimeona na nimeshangaa Sana imekuwaje yaan nilichopenda Sana kwake ni anabahati Sana Sana Sana. Maana Mimi naombea nipate nafasi 1 tu ila yeye amepata 2 Kwa wakati mmoja na pia tulifanya usaili pamoja naye. Hongera Sana kwake maana wanasema "bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.