HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Shida sio kupata,hatuwezi kupata kazi wote shida ni kumaliza mchakato kwa wakati,mantiki yangu ni kuwa hawa tamisemi ajira zao pamoja na hizi za MDA/LGA ilikuwa ni mwaka uliopita ambazo wao walimaliza mapema mchakato wake,wao wameajiri awamu ya pili wale wenyewe bado tu hata za kwanza hawajamaliza ndio mantiki yangu.suala la kupata au kukosa wala halinihusu,wao watoe idadi kama ilikuwa ni 100 basi watoe waliopata idadi hiyo tujue tumekosa lkn sio hii mwingine ana miezi 4 kazini mwingine hata hajui kama itakuwa ni database au amepata au kakosa kabisa.
Hivi MDA & LGA waliofanya interview ya oral 14 may mwaka huu bado hawajatoa majina yao??
 
Utumishi kwel hakuna favor kwel kwa mfano kuna demu mmj mwajiliw udsm tulifany nae pepa akapata kazi uko Singida kama afisa tarafa ila akupapenda kwahy akwenda jambo la kushangaza majina ya juzi yanatoka kapangiwa kazi tena TRC!
Sasa sijaelewa inakuaje kuaje????
inawezekana alifanya interview nyingne wewe hukuepo
 
Utumishi kwel hakuna favor kwel kwa mfano kuna demu mmj mwajiliw udsm tulifany nae pepa akapata kazi uko Singida kama afisa tarafa ila akupapenda kwahy akwenda jambo la kushangaza majina ya juzi yanatoka kapangiwa kazi tena TRC!
Sasa sijaelewa inakuaje kuaje????
Mbona unashare personal details za mhusika?? Je unaishi nae kupata huo uhakika hajafanya interview nyingine?
 
Leo nilienda kufanya mchujo katika tume ya utumishi wa mahakama ,nikakutana na Keybord,mouse na monitor, Quiz ni dakka 30,yenye maswali 20 but yote ya kuchagua na baada kumaliza marks zako ulizopata zinaonekana pale so unajua kama uelekeo wa kwenda orala upo au laa
Majina ya oral mZee bado ayajatoka

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wakuu kwa aliyewahi kuomba ajira kwa kupitia Ajira portal hivi kwenye anuani ya mwandikiwa inakaa ipi ?? Ya sehem unayoombea " mfano Kama naomba nafasi ya kazi TRA naweka anuani ya TRA au naweka ipi " Msaada jamani.
 
Soma tangazo husika kwa umakini, lazima watakua wamesema barua una address kwenda wapi au kupitia wapi.
 
Amna ajafanya nyngne mzee ni kama kabadilishiwa Tu kwamba ya mwnzo ajapenda
Nimeona na nimeshangaa Sana imekuwaje yaan nilichopenda Sana kwake ni anabahati Sana Sana Sana. Maana Mimi naombea nipate nafasi 1 tu ila yeye amepata 2 Kwa wakati mmoja na pia tulifanya usaili pamoja naye. Hongera Sana kwake maana wanasema "bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi"
 
Saizi wapo wanaandaa annual report, siunajua mwaka wa bajeti wa serikali ndiyo unayoyoma hivyo.
 
Back
Top Bottom