HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mimi ningeshauri huu trend mpya ya kujadili nje na Uzi huu ingeachwa , wewe unayetoa elimu anzisha Uzi mwingine acha kuchanganya watu waliokuha kupeana faraja na moyo apa Kwa juhadili mshahara wako wa laki 7 au laki 380 hapa unawatesa ambao hata buku ya bando kipengele. Kula laki 7 Yako na mmeo au mkeo huko.

Hapa ibaki kuwahoji PSRS kama wameshindwa kuendesha Kwa haraka Ili mchakato usikae mwaka kwa ahira za watu 20, kufarijiana Kwa kutabiri mkeka, testimonies za waliopata wamepokeaje na meseji zao za faraja na kupongezana n.k

Kwamba mtu anatoa elimu ya mikataba ni nzuri but anzisha thread nyingine watakuunga mkono walio na ajira ndipo tujadili mambo ya nssf, nhif, cwt, tughe, wcf, strategies n.k
 
Wazee mnatuchanganya sisi tunataka kazi nyie mnaweka comment ya vyama vya wafanyakazi

Inatusaidia nini sisi jobless ebu mkaanzishe uzi wenu uko.

Waanzishe wao tu sisi tunakuja kusoma testimonies hapa , kupongeza na kuwish utumishi waliopata , kupeana pdf za ajira na kifupi Uzi wa wasaka ajira afu mwingine analeta elimu... Ni mamluki huyu anapoteza uelekeo wa Uzi huu😄
 
PDF ya maana imekuwa muda sasa haijawekwa ivi psrs ni binadamu kama sisi.
Mbona wamekaa na matokeo yetu mamiezi kibao hawatoi bado speed ya kuchota watu database ndogo.

Lkn pia vimulimuli vyote vimezima😄 au hawaoni?

Dah aysee PSRS toeni placement, fanyeni uungwana.
 
PDF ya maana imekuwa muda sasa haijawekwa ivi psrs ni binadamu kama sisi.
Mbona wamekaa na matokeo yetu mamiezi kibao hawatoi bado speed ya kuchota watu database ndogo.

Lkn pia vimulimuli vyote vimezima😄 au hawaoni?

Dah aysee PSRS toeni placement, fanyeni uungwana.
Vimulimuli vikizima ujue neema inakaribia...
 
PDF ya maana imekuwa muda sasa haijawekwa ivi psrs ni binadamu kama sisi.
Mbona wamekaa na matokeo yetu mamiezi kibao hawatoi bado speed ya kuchota watu database ndogo.

Lkn pia vimulimuli vyote vimezima😄 au hawaoni?

Dah aysee PSRS toeni placement, fanyeni uungwana.
It seems ni mpaka mwaka wa pesa upinduke...so may be kuanzia tarhe 10 kuendlea
 
Habari, naomba kuuliza hivi wakiita watu kazini mfano hizi interview za MDAs&LGAs wakitoa majini wanaunganisha na waliofanya interview hivi karibuni mfano mwezi huu wa 6 au wanaanza kuita wale waliofanya interview za nyuma kwanza???
 
Hapo ndipo mnapokosea!! Taratibu za ajira unatakiwa uzijue kabla ya kupata ajira!! Vinginevyo utajikuta unapoteza haki zako nyingi tu!! Kama vile taratibu za kuishi na mwenza unatakiwa uzijue kabla ya kumpata huyo mwenza (ili maadam unatarajia kumpata mwenza wa maisha). Vinginevyo kuna watu wanajazishwa fomu za kujiunga na chama cha wafanyakazi kana kwamba ni lazima kumbe ni hiari!! Utakapokuja kushtuka umeshaliwa sana tu!! Ni vizuri mno kujua haki na wajibu wako mapema!!
Shukrani sana kwa ushauri mkuu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Mwajiri hahusiki kabisa!! Mazungumzo ni kati ya wafanyakazi wasio wanachama wa chama cha wafanyakazi na maafisa wa chama cha wafasnyakazi. Lengo ni kujaribu kuwashawishi wasio wanachama kuwa na wao wananufaika na huduma ya chama cha wafanyakazi hatya kama si wanachama!! Sasa huo umekuwa ni mlima mkubwa sana kwa vyama vya wafanyakazi. Havina kabisa hoja zenye vielelezo kuwa huduma yao huwafaidisha pia wasio wanachama!! Iwapo hakuna mifano hai ya vyama kuwafaidisha wanachama wao, itawezaje kupata mifano ya kuonesha inavyosaidia kunufaisha walio wanachama?

Matokeo yake kiuhalisia hakuna chama cha wafanyakazi chenye ubavu wa kuendesha mazungumzo ya duka la uwakala!! Ndio maana hata huu msamiati u7mebaki kwenye maandishi tu na watu wengi hawaujui!! Nimekuwa mtumishi wa umma kwa takriban miaka 30, sijawahi kuona hayo majadiliano ya duka la uwakala kati ya chama cha wafanyakazi na watumishi wasio wanachama wa chama chya wafanyakazi? Hiyo kwa sasa ni nadharia isiyotekelezeka kwa vitendo!!

Mwajiri hahusiki, yeye ni mtekelezaji tu wa makubaliano kama yapo. Na makubaliano hayo ni lazima yawe kwa maandishi na mtumishi ajaze fomu maalumu ya kumwelekeza mwajiri kufanya makato waliyokubaliana. Bila mtumishi kujaza hiyo fomu mwajiri hana mamlaka ya kukata mshahara wa mwajiriwa yeyote!!
Nafanyia kazi Kila unachokisema naona Kuna hoja muhimu hapa ngoja nipitie vizuri Kisha niingie kwenye mapambano
 
Back
Top Bottom