HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wadau hii Tume ya mahakama mbona Iko moto hv,, yaan watu wamepiga saili tar 14 mwezi huu.. Jana watu wanafurahi wamekula Shavu huko kwenye mahakama.
Kuna chalii yangu nilimalizana Olevel, ye hakutaka kusomasoma alikuwa anapiga zake boda, nilimshawishi kuomba hizi nafasi leo hii nimemuona kwenye Nafasi ya "MSAIDIZI WA OFISI" nimefurahi sana😁
Hivi wanalipwa pesa ngapi hawa wasaidizi wa ofisi waliopita kwa Vyeti vya IV..?
 
Kuna chalii yangu nilimalizana Olevel, ye hakutaka kusomasoma alikuwa anapiga zake boda, nilimshawishi kuomba hizi nafasi leo hii nimemuona kwenye Nafasi ya "MSAIDIZI WA OFISI" nimefurahi sana[emoji16]

Hongera zake kwa kulamba asali
 
Kudadadeq Huku Kuna asali Hadi inamwagika
Wadau hii Tume ya mahakama mbona Iko moto hv,, yaan watu wamepiga saili tar 14 mwezi huu.. Jana watu wanafurahi wamekula Shavu huko kwenye mahakama.
Kuna chalii yangu nilimalizana Olevel, ye hakutaka kusomasoma alikuwa anapiga zake boda, nilimshawishi kuomba hizi nafasi leo hii nimemuona kwenye Nafasi ya "MSAIDIZI WA OFISI" nimefurahi sana[emoji16]
Hivi wanalipwa pesa ngapi hawa wasaidizi wa ofisi waliopita kwa Vyeti vya IV..?
370,000/=
 
Wadau hii Tume ya mahakama mbona Iko moto hv,, yaan watu wamepiga saili tar 14 mwezi huu.. Jana watu wanafurahi wamekula Shavu huko kwenye mahakama.
Kuna chalii yangu nilimalizana Olevel, ye hakutaka kusomasoma alikuwa anapiga zake boda, nilimshawishi kuomba hizi nafasi leo hii nimemuona kwenye Nafasi ya "MSAIDIZI WA OFISI" nimefurahi sana😁
Hivi wanalipwa pesa ngapi hawa wasaidizi wa ofisi waliopita kwa Vyeti vya IV..?
Scale yao ni TGOS A

Tsh 370,000 - 489,000
 
Hivi wakuu hii imekaaje unakuta mmeripoti watumishi wapya 10 halaf mshahara wa mwezi huu wamepata 8 na kuna 2 bado hatujaingia shida inakua nini?
Mara nyingi inshu ni taarifa, kama kuna sehemu ulikosea au ulichoandika hakisomeki/eleweki scanner ikishindwa kusoma inatema, hapo fanya ufuatilie mapema, usisubiri ukose ujao,
Kama hio ndio sababu inabidi ufuatilie ili waweke mambo sawa, wao nao wanaweza wajisahau kukupigia/ita urekebishe, tatizo litaendeleaa..
 
Muhimu hapo amcheki HR wacheki taarifa kama zipo sawa unaeza kuta umekosea namba ya A/C au Jina.
Ila nachojua kuna form za Arrears utajaza na reason za kukosa mshahara badae watakulipa.
 
Back
Top Bottom