Recent content by mwalituke

  1. M

    JamiiForums Tanzania UCHOCHEZI? Mbunge Cecil D. Mwambe(CHADEMA) ashikiliwa na Polisi Mtwara

    mimi sijaribiwi ohooo
  2. M

    JamiiForums Tanzania HESLB! mtauwa watu

    aisee wanakata balaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco ongezeni magari ya emergency kama sisi eneo letu tunahudumiwa na gari moja tu maana kila siku wanaokuja ni wale wale wakija unawaona kabisa. wamechokaaaa hata maelezo ya nini kimetokea hawachukui wanawasha na kuondoka, mnawatesa sana hawa emergency,unapiga simu unapewa namba...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kauli hizi za President Magufuli ziliharibu kabisa

    ney wa mitego alishamaliza yote
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Godzilla, ana hali mbaya

    jina tu lina ukakasi lazima apagawe
  6. M

    JamiiForums Tanzania Angalia Rais Magufuli anakoomba misaada na mikopo utaelewa kwanini hatofanikiwa

    alifikiri ikulu mchezo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    bila shaka ulilewa umefikia kiasi unamdhihaki Mungu! tubu mapema
  8. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mama kazidi sasa

    post zingine zinaboa sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya LG Yafanya Kufuru Tanzania!. Yamwaga Ma AC ya Ajabu!. Yanatumia Umeme Mdogo!.

    AC moja ya matumizi ya nyumbani tu vyumba vitatu sh ngapi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    taratibu gani za kufuata ili kubadilishiwa mita? maana mimi nina kita umeme ukikatika tu na ukija kurudi nyumba yetu tu inakosa umeme mpaka tanesco wapigiwe waje wafungue mita na wawashe na hii inachukua mpaka siku 3 ukitoa taarifa ndo tanesco wanakuja imekuwa kero sana, mpaka imefikia kipindi...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi hili jitu linachukua msichana wangu

    mweee unapigiwa mzee tena mpaka hilo kochi wanalokalia pengine wanafanyiaga hapo penzi la wizi tamu sana unapita wakati mgumu sana kaka,usipojiangalia utakuja kuwafumania halafu uue uishie jera fanya maamuzi mapema,achana naye huyo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho ajali ya coaster Tanga

    pole sana hakika wote kwenye hiyo siti mlitembelea nyota ya mtoto israel alivoona mtoto akaahilisha kuchukua roho zenu ndio maana napenda sana kubeba watoto wa watu kwenye basi nikisafiri maana najua kwa imani ikitokea ajari ntapona tu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mizigo yatupwa hovyo airport Mwanza

    weka picha basi wakati wanatupa ushahidi wa picha huna tutakuelewaje?
Back
Top Bottom