Nakuunga mkono, kila kukicha Juliana, Juliana, mtu mwenyewe hana chochote cha maana, hana ubavu wa kukivuruga CCM wala CDM. She is just a mere person kama walivyo watu wengine wowote, cha ajabu ameteka vyombo vya habari usiku na mchana Julina.
Kwanza sina hata uhakika na hii habari iliyoletwa...