Shonza Na Mkakati Wa Kuiua CCM....

Shonza Na Mkakati Wa Kuiua CCM....

Status
Not open for further replies.
Ndiyo ubaya wa dhambi ya usaliti yani unakuwa hakuna anayekuamini na kila mtu anakuwa hana amani na ww na mara nyingi anafikiria kama uliweza kumsaliti bwana wako wa kwanza basi ipo siku na bawana wa pili utamsaliti kwa kupata bwana mwingine au kurudi kwa bwana yule yule wa kwanza.

Cc😡Juliana Shonza
 
Hivi huyu mdada ana nini?.

Mimi nilifikiri ni sisimizi tu ambaye unaweza kumkanyaga na kumuua bila hata kugundua kama umefanya hivyo.

Mbona watu wanatumia nguvu nyingi kutaka kumuua wakati ni sisimizi. Kwa nini msimkanyage tu.

Mnatujaza wasiwasi na usisimizi wake.

sexy appeal and nothing more
 
OK, sikujua hivyo lakini kuna maana gani ya maombi kila kukicha ya midaharo na sisimizi kulingana na mtazamo uliousema kama CCM kwa CDM ni sisimizi.
Hakuna anayeweza kuomba mdahalo na hao watu ambao hawaja accomplish chochote katika maisha yao ya siasa. Watu wanawaponda tu kila kona kuonesha kuwa jamii haiwakubali na haina huruma nao. Ndio maana ikitokea hoja yoyote inayohusu hao masalia unaona inashambuliwa kama nyuki ili kuwatia adabu
 
Binafsi simfaham vizuri dada Juliana lakini kwa zile ngonjera zake za kumpondea Kamanda Heche nikajua kumbe ni mweupe tu, alishindwa kujenga hoja akawa anazungumzia mtu tu, naona heri akae na akina nape huko huko, ana discuss people instead of issues.
 
Binafsi nahisi chadema wanamtumia shonza, ccm msithubutu kumpa shonza cheo, mjue mmeliwa! Chadema waigizaji sana!
 
Hakuna anayeweza kuomba mdahalo na hao watu ambao hawaja accomplish chochote katika maisha yao ya siasa. Watu wanawaponda tu kila kona kuonesha kuwa jamii haiwakubali na haina huruma nao. Ndio maana ikitokea hoja yoyote inayohusu hao masalia unaona inashambuliwa kama nyuki ili kuwatia adabu
Inawezekana ni kweli unavyosema, lakini huyu mwanachama/kiongozi mwandamizi wa CHADEMA sijui hapa alikuwa ana maana gani kwa hawa sisimizi ndani ya CHADEMA
Napendekeza sasa ikiwezekana mdahalo uitishwe kati ya vijana waliohama kutoka CCM kuhamia CHADEMA na wale WALIOFUKUZWA kutoka CHADEMA wakahamia CCM.Kwa kutumia falsafa ya Mwalimu nyerere kwamba ili tuendelee tunahitaji Watu,Ardhi na siasa safi ni vyema sasa tukaamua kubadili mkondo wa siasa zetu kama vijana wa kizazi hiki na kufanya siasa za kistaarabu na kujenga taswira mpya ya siasa za mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania.

Kamanda Ally Bananga na Alphonce Mawazo walitoka CCM na kuhamia CHADEMA na kujiunga na vuguvugu la mabadiliko huku Juliana Shonza na Mtela Mwampamba wakifukuzwa CHADEMA kwa usaliti na jaribio la kuhujumu vuguvugu la mabadiliko kisha wakajiunga na CCM(maadui wa Mabadiliko) na katika kuonyesha jinsi CCM walivyofilisika kisera na kiitikadi wakaamua kuwapokea na kuzunguka nao kwenye majukwaa kushambulia viongozi na wanachama wa CHADEMA na hasa kwenye mambo binafsi
 
Inawezekana ni kweli unavyosema, lakini huyu mwanachama/kiongozi mwandamizi wa CHADEMA sijui hapa alikuwa ana maana gani kwa hawa sisimizi ndani ya CHADEMA

Sidhani kama Ben alikuwa serious kuomba huo mdahalo lazima alikuwa anatania. Kamanda Mawazo anapiga kazi hadi visiwani huko Ziwa Victoria apige mdahalo na hawa Sisimizi???

By the way Ben naye alipewa karipio kali na CHADEMA so anajua uwezo wa hawa masalia na anataka kuzidi kuwatia aibu mbele ya jamii but njia aliyoitumia sio yenyewe.
 
Psychologically talking, ni wazi kuwa Mtela Mwampamba na Juliana Shonza wataathirika sana na huu "umaarufu hasi". Kwa mnaowafahamu, waangalieni tu mtagundua nini nasema. In no time kama hawajaishia kuwa walevi wakubwa wa pombe au madawa, then watakuwa watu solitary sana. Kwa sasa kila wanaekutana nae wanadhani kuwa ni mmoja wa aliyewatukana kule JF. Kila wakiona mtu anawatizama watahisi kuwa anawahusisha na 'usaliti'.
Narudia tena (kama daktari), kwa mnaowafahamu hawa vijana, waangalieni kwa makini, mtagundua mabadiliko makubwa sana kwao ndani ya siku chache sana...

Yuda eskarioti alienda kujinyonga sio kwa sababu ya laana. Bali kwa sababu alikuwa anahisi kuwa kila mtu anamwangalia kama msaliti. Hiki ndicho kitakachowakuta Mtela na Shonza. kama hawatajitoa uhai, basi watajitoa 'utashi'...
 
Last edited by a moderator:
chadema ni sisimizi na kule kwa nyinyiem anaonekana ni Tembo.
 
ukiangalia saana SHOZA JULIANA atawachanganya saana CCM mwishowe atarudi Chama kubwa CHADEMA

Akirudi atasemaje kwamba Raisi Kikwete kamfundisha kukashfu viongozi wa CDM? kweli huyu mdada tungeacha kumuongelea tunampaisha asivyostahili.
 
Ngoma inogile, mapandikizi kila kona ndo mpango mzima..!
 
CCM hofu ya nini mmewakwaa vijana wapya, endeleeni kuwatumia, mtafanyaje sasa na Nyie hamuweza kufukuza? Hahahaaaa
 
mnampa promo tuu Hana lolote huyo binti.
Tujiulize zaidi what exeptional does this little lady has? nothing, its only media gives her political millage.
Mwanasiasa gani anayemshambulia mtu mmoja (dr.slaa) tena kwa mambo binafsi ambayo sio muhimu kwa watanzania.kwangu mimi hizo nisiasa za hovyo kabisa,

Nakuunga mkono, kila kukicha Juliana, Juliana, mtu mwenyewe hana chochote cha maana, hana ubavu wa kukivuruga CCM wala CDM. She is just a mere person kama walivyo watu wengine wowote, cha ajabu ameteka vyombo vya habari usiku na mchana Julina.

Kwanza sina hata uhakika na hii habari iliyoletwa hapa kama ina ukweli wowote, nahisi mwanaCCM mmoja kaamua kuitunga tu, ili kumpandisha chati au kuwaalert wenzake ili wamtumie kwa umakini. lakini mtu wanayempamba kwa maneno na mijadala yote hii, hana lolote jipya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom