ITV SIMBA sc sports news

Juma. W

Senior Member
Mar 28, 2011
131
21
I have observed for days now that ITV does not provide some sport news on Simba Sc immediately. Today 27/10/2012 Simba played Azam at the National Stadium yet it has been easier for ITV to get news from Arusha than Dar. I trust I TV, please I hope it was just an over look.
 
They always behave in the same way. I think Mengi is a fun of Yanga. ITV can easily broadcast Simba's news only when it is defeated, but not when it wins.
 
Hawa ni wa ajabu wameeleza mpaka hbr za ulaya ila simba wameona itanenepa. Kesho magazeti pia wasisome hbr za simba.
 
Du! mie sikuwa nimewaza hivyo. ila Ni kweli nami nilitamani nione Okwi alivyotupia kambani hapa dar lakini wapi!, nimeambulia kuonyeshwa kipande cha mechi ya Yanga na Oljoro tena kilikuwa cha hovyoooo, kwani niliona mpira ukiwagonga watu kwenye ugoko!. ITV kulikoni?.
 
If ITV is a free media it should not be biased. Otherwise ITV should say they broadcast news from which inclination
 
....that is why i normally question Maulid Kitenge's capacity of understanding.

Unamuonea Maulid 'kiduku' Kitenge.
He's just a news anchor. Editorial desk pamoja na producer wa habari ndo wanaoamua nini kirushwe kwenye bulletin...
 
Kwani simba tv mlianzisha kwajili ya kuonyesha viduku, katangazeni huko simba tv habari zenu na mabonanza yenu na azam. Itv hawana mda wa kuonyesha habari za friendmatch
 
mechi ya yanga na jkt oljoro ilikuwa ya ushindani zaidi,ila upuuuzi wa mechi ya jana uwanja wa taifa hakuna ushindani wowote ndo ITV waligundua hilo mapema wakaishiwa pozi kurekodi,ilikuwa ni friend match
 
Du! mie sikuwa nimewaza hivyo. ila Ni kweli nami nilitamani nione Okwi alivyotupia kambani hapa dar lakini wapi!, nimeambulia kuonyeshwa kipande cha mechi ya Yanga na Oljoro tena kilikuwa cha hovyoooo, kwani niliona mpira ukiwagonga watu kwenye ugoko!. ITV kulikoni?.

Hawa hawajaanza leo iwe ITV au Radio One tena mbaya zaidi kama maulid kitenge akiwa kaachiwa usukani msitegemee hata kama Simba watachukua kombe laklabu bingwa Africa jamaa watakula pini!
 
I have observed for days now that ITV does not provide some sport news on Simba Sc immediately. Today 27/10/2012 Simba played Azam at the National Stadium yet it has been easier for ITV to get news from Arusha than Dar. I trust I TV, please I hope it was just an over look.

incase u didnt notice we aint no wapembaz okaay...azam and simba are teams from pemba owned by wapemba/arabs...young african is for watanganyika and i urge ITV never to show any match that involves simba and azam..if u wanna watch such games tune in on TVZ or TBC
 
Back
Top Bottom