ccm (bunge) imeunda kamati kuipitia mitaala aliyoiwasilisha waziri ili kwa vyovyote ije na taarifa kuwa mitaala ipo na ni swafi na Mbatia kaongopa.
swali ni kwa nini waziri alikuwa kaibana hiyo mitaala kibindoni wakati wa kuwasilisha kwake - mitaala kaimelemetesha au kai-blandish tu pale na kudai italetwa. mbona tunaona na kushuhudia spika akiwa mkali kutaka mbunge mwernye document crucial aiweke mezani kwake - ilishindikana nini kwa hili.
mitaala ni kitu academic hakitakiwi kiwe siri - mtu anatakiwa anainigia website ya elimu na anaikuta..
kaaaaazi kwelikweli