Shauri yako we wataje taje sana hao jamaa. Hawakawii kutibuka!:biggrin1: waeleze hao...wanaona aibu, watangayika wazima mnashangilia timu ya UAMSHO
Shauri yako we wataje taje sana hao jamaa. Hawakawii kutibuka!:biggrin1: waeleze hao...wanaona aibu, watangayika wazima mnashangilia timu ya UAMSHO
Timu ya kina Pondamali na Fid q sio??
wapi!!! Taifa!!!!!!!!....duh!!!.....kaka leo hatukuwa na Mwandishi wetu wa habari huko,vumilia tu.
Yaani Simba imeshinda Taifa lakini hawatangazi! Ikifungwa au kutoa Droo ndo wa kwanza kutangaza. Kwa Yanga mko Mbeeele @#x6F..... Zenu!
manji,bin kleb, tarimba abbas, gulamali wazungu hawa etisimba timu ya waarabu watakua wametangaza TVZ kaangalie kule :biggrin1:
unatumia takwimu za wapi labada kama kuna east africa nyinginesasa je...the most successful team in tanzania YOUNG AFRICAN
the best team in east africa...YOUNG AFRICAN
hao simba wakale karafuu tuu mpira wanaujulia wapi ndo mana hata itv hawakua na habari nao :biggrin1:
Tatizo ni Isaac Gamba ana chuki binafsi na Simba,ni mara zote akisoma yeye anaruka makusudi, siyo ITV jamani. Mengi tuondolee Gamba kwenye michezo, Gamba akitaka habari Simba asipewe ushirikiano, Gamba asihudhurie vikao au matamasha yoyote ya Simba, Gamba asifike klabuni Simba, wapenzi wa Simba msikubali kuzungumza au kuhojiwa na Gamba katika mambo yanayohusu Simba. Asikae karibu na sisi hata uwanjani.
Gamba usije kucheza na sisi una mikono michafu. Pita na zako mtaa wa Msimbazi
Nadhani humfahamu vizuri Gamba, Huyu ndiye mtangazaji mwenye mapenzi makubwa na Simba na wala hana upendeleo wowote ni mtu anayependa kazi yake,.haonyeshi ushabiki ktk utangazaji.
Labda wamtaje KITENGE nitawaelewa!Nadhani humfahamu vizuri Gamba, Huyu ndiye mtangazaji mwenye mapenzi makubwa na Simba na wala hana upendeleo wowote ni mtu anayependa kazi yake,.haonyeshi ushabiki ktk utangazaji.
Wapendelee wasipendelee sidhani kama pointi zenu zitapungua.mnalalamika nini si mnae simba tv mkatangaze ukoooo
yanga umoja wa mataifa huwezi kuilinganisha na simba wahuni wa uarabuni
Ina kuuma eeeh;hamis bas au yambie magarasa yako suzuk;okwito na hakufa yaongeze juhudi
Tatizo ni Isaac Gamba ana chuki binafsi na Simba,ni mara zote akisoma yeye anaruka makusudi, siyo ITV jamani. Mengi tuondolee Gamba kwenye michezo, Gamba akitaka habari Simba asipewe ushirikiano, Gamba asihudhurie vikao au matamasha yoyote ya Simba, Gamba asifike klabuni Simba, wapenzi wa Simba msikubali kuzungumza au kuhojiwa na Gamba katika mambo yanayohusu Simba. Asikae karibu na sisi hata uwanjani.Gamba usije kucheza na sisi una mikono michafu. Pita na zako mtaa wa Msimbazi