Faida na hasara ya kutumia maji ya chumvi/maji ya kisima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida na hasara ya kutumia maji ya chumvi/maji ya kisima

Discussion in 'JF Doctor' started by diet, Oct 26, 2012.

 1. d

  diet Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  a.salaam wana jamvi............. nauliza kama kuna madhara au faida yoyote ya kutumia maji ya kisima ya chumvi?? maana kuna sehemu nimepangiwa kazi ni maji ya chumvi kila mahali hamna kabisa maji ya bomba.....
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu.@diet Maji ya chumvi hayana madhara unaweza kutumia endapo hakuna maji mengine zaidi ya hayo lakini angalia endapo kama hiyo chumvi itakuwa ni nyingi huwezi kutumia na waulize wenyeji wanafanya maarifa gani kwa kunywa hayo maji?
   
 3. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Zipo chumvi za aina nyingi. Nyingine zina madhara makubwa.
   
 4. m

  meidimu sirkon JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuna viwango fulani ambapo chumvi mbalimbali ikivuka huleta madhara viumbe hai
   
 5. m

  mwalimu wa watu Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona Dar kila mahali ni maji ya chumvi. Uwezo wa serikali ya Tanzania kuwapelekea maji wananchi wake haupo so wengi wetu tunajichimbia visima wenyewe na karibu visima vingi tunavyochimba vina chumvi ya kufa mtu.
   
Loading...