Habari wana jf,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 28, Ni mhitimu wa chuo kikuu, Bachelor Degree in Human Resource Management mwaka 2019, Nina ujuzi Mkubwa wa kutumia computer katika program za word, excel, PowerPoint.
Lakini pia nina ujuzi katika research kwenye data collection, data...