Taarifa kwa Umma kuhusu maendeleo ya Mbowe

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,805
4,484
1591891381623.png

1591891418497.png
 
aisee embu kina lijuakali walete yao hapa maana jamaa anaonekana kashaishiwa hang over sasa hadithi zinaanza hapa
 
Hii Serikali ya CCM ni ma HINTALAMWE wa Tanzania, hawaoni shida yeyote kumwaga damu za watu kwaajili ya madaraka. Inasikitisha sana.
 
Pole Mh. Mbowe, siasa si uadui jamani, tunamtakia kila la kheri arudi ktk majukumu yake ya kuwaletea maendeleo wananchi wake wa Wilaya ya Hai. 😢
 
Siasa za Tanzania ni uadui

No haijafikia hatua ya uadui, enmity ni level ya juu sana, ndio maana umeona baada ya Mh. Mbowe kuumia kuanzia Mh. Rais, Waziri Mkuu, Mh. Speaker, Naibu Speaker, na viongozi kadhaa walikimbia mapema kumjulia hali uadui bado hatujaufikia kabisa
 
Back
Top Bottom