Recent content by Mwafrikaazania

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wazamiaji SGR Business Class tujuane!

    Cc SGR Management
  2. M

    JamiiForums Tanzania TRA WANATOA WAPI BEI ZA MAGARI

    Ni kweli, ndiyo maana hata Bongo Bima wakisema walipe kila dai zinafilisika hapohapo. Kwa mfano kuna kampuni hazitoi comprehensive bima kwa bajaji na pikipiki kwa sababu ya risk - Udanganyifu, ajali nk. Sasa hiyo ya copper natumai ilikuwa bima ya 'goods in transit'. Kampuni nyingi sana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TRA WANATOA WAPI BEI ZA MAGARI

    Roadworth certificate ilikuwepo ikaunganishwa kwenye registration fee. Bima inafuata utaratibu wa kisheria kwenye umiliki wa chombo. Kama una registration card na mwenyewe unakiri kwenye maandishi ni mali yako hiyo burden ni yako. Haiwezekani kwa sababu uliidanganya Serikali ukapata documents na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania TRA WANATOA WAPI BEI ZA MAGARI

    Kama ambavyo na wewe ulifanya umakini mkubwa kabla ya kuchagua kampuni ya bima ndivyo hivyo na anayekupa bima atafanya umakini mkubwa na yeye anapotaka kukulipa pesa. Ni kanuni rahisi tu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania TRA WANATOA WAPI BEI ZA MAGARI

    Hapo ni kuingilia majukumu ya vyombo vingine na itakuwa kituko kampuni yeyote Duniani itakayofanya hivyo. Mathalani kwa kesi hiyo ya Ommy, unafikiri Kampuni ya bima ni practicle kufanya uchunguzi ikiwa document za mamlaka ya mapato (car registration) zimethibitishwa na wao ikiwemo uhalali wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TRA WANATOA WAPI BEI ZA MAGARI

    Kwenye Bima kuna kitu kinaitwa Utmost of good faith, declaration of material fact nk. Kama mhitaji wa bima unatakiwa kuwa mkweli juu ya mali uliyokatia bima na bima inakuwa mkweli mkweli itakulipa utakapopata janga. Hii ni universal principal. Ukiiba gari, ukaikatia bima si jukumu la Kampuni ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania TRA WANATOA WAPI BEI ZA MAGARI

    Mbinu nyingi rahisi za kuthibitisha, mojawapo chassis number. Nenda kwenye kifaa chako unachotumia humu, Google VIN (Vehicle indentifcation number) weka chassis number ya gari yeyote itakupa model ya gari, mwaka iliyotengenezwa, Nchi ilikotengenezwa nk. Tulishawahi miaka ya nyuma (Kampuni ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Villa zinauzwa Oyster bay zipo 6 zina vyumba 3, eneo square meter 2900 kwa bei ya Dolla Milioni 6.5

    Nafikiri kwenye hili ni kujadili kwa concept ya Tanzania. Hata US Serikali haipangi bei za nyumba. Kwa Tanzania mnunuzi au muuzaji anaweza kumshirikisha Valuer akafanya valuation/appraisal ingawa sidhani kama wengi huwatumia hao. Mara nyingi kama Mtu ananunua maana yake ameona thamani yake na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Villa zinauzwa Oyster bay zipo 6 zina vyumba 3, eneo square meter 2900 kwa bei ya Dolla Milioni 6.5

    Unaomuonea tu, hapo labda ungelalamikia bei upunguziwe. Sababu za ununuzi wa nyumba huwa unatofautiana. Kwa mfano hizo nyumba sita unazinunua wapi Marekani ambazo zipo kwenye square 2900 na kwa gharama ya Usd.6.5 million kama unataka kufanya biashara, na ukakatwa 0.20% kodi kama Tanzania.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bill Gates: AI itaua Watu Bilioni isipodhibitiwa

    Hapa nimeuliza moja ya AI app yenyewe na majibu yake hapo chini, mimi nimeona hapo kwenye red hasa ikihusika medicine na labda silaha nzito kama nyuklia. Kama ambavyo tunaamini kabisa majibu ya mashine kama CT scan, MRI, huenda AI kwenye uzalishaji - tunakoelekea labda AI itasaidia utafiti wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bill Gates: AI itaua Watu Bilioni isipodhibitiwa

    Njaribu kufikiria ma-files na au doucments ambazo zimekuwa up-loaded kwenye app au sites za AI kwa ajili ya kusaidia jambo fulani siku zikivuja au kuwekwa wazi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ghorofa zuri linauzwa Arushaa

    Arusha City Centre, ghorofa floor 6 for 2.7 b!!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wagogo walimbadilisha mkwawa

    Isije kuwa Mkwawa alikuwa Mgogo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Haitawezekana Kuifuta Historia ya Uhuru wa Tanganyika kwa Kupenyeza Historia Mbadala

    Sasa Moh, si ulishasema umesahihisha. Mbona tena una hofu ya 'kupenyeza historia mbadala' . Nani huyo anapenyeza sasa anapenyeza historia mbadala wakati wakati wewe ndiye pekee unayetakiwa kuandika na wengine wakae kitako.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Because of money.

    Luha ni nini?
Back
Top Bottom