TRA WANATOA WAPI BEI ZA MAGARI

TRA WANATOA WAPI BEI ZA MAGARI

Hawa watafikiwa tu na wao siku moja, haiwezekani uchunguzi mkali sana uwe kwenye kulipa fidia, ila kwenye kukusanya ada za mwaka process ziwe chache tu
Kama ambavyo na wewe ulifanya umakini mkubwa kabla ya kuchagua kampuni ya bima ndivyo hivyo na anayekupa bima atafanya umakini mkubwa na yeye anapotaka kukulipa pesa. Ni kanuni rahisi tu.
 
TRA WAPUMBAVU SANA.VICHWA VYAO VI.EJAA MAVI TU.YAANI GARI INAUZW MILIONI KUMI ULAYA LAKINI TRA NAO WATAKUTOZA KODI MILIONI KUMI KAMA VILE WAMEIUNDA WENYEWE.AU GARI ILIYONUNULIWA ULAYA INAENDA UGANDA,RWANDA AY BURUNDI AMBAYO INAPITA BANDARI YA DAR INA GHARAMA NDOGO KULIKO YA TANZANIA.
 
Kitalaamu ili mtu akate Bima inatakiwa awe na roadworth certificate ndio inakua kama base ya taarifa za hiyo gari sema kwetu tunaruka vitu vingi sana ndio maana unaona sawa kwa kilichofanyika.
Na kwa kuwa sheria ya bima ni lazima ndio maana hakuna ukaguzi ni watu wachangie ila wasilipwe mfano baadhi ya Nchi tunazotaka kukata bima ukipeleka certificate ikiwa haipo sawa wanakataa maana wanaona umepeleka kitu chakavu ambacho unataka kulipwa na bima kwenye gari sio lazima ila unatakiwa uwe na certificate ambayo kila mwaka unatakiwa uwe nayo kama ile ya Tanzania kitambo sasa hivi wameipeleka kwenye mafuta.
Roadworth certificate ilikuwepo ikaunganishwa kwenye registration fee. Bima inafuata utaratibu wa kisheria kwenye umiliki wa chombo. Kama una registration card na mwenyewe unakiri kwenye maandishi ni mali yako hiyo burden ni yako. Haiwezekani kwa sababu uliidanganya Serikali ukapata documents na vivo hivyo wakati wa malipo Bima wafumbe macho.

Hata hapo South Africa kuna vipengele vingi tu wakati wa madai pamoja na kusema mna mfumo mzuri. AI inasema most reported claims fraud in SA (hapa ni baada ya kukata bima) - Staged accidents, False theft claims Costs, Pre-existing damage, False ownership, False driver information, Misrepresenting vehicle use, Multiple claims.

Nakupa
mfano wa kweli. Miaka kumi iliyopita Mtu X alichukua bima ya gari yake. Alipopata ajali 'total loss' alitaka alipwe. Mimi nikahusika katika hiyo kazi. Kazi ambayo niliona ni assessment ya kawaida ili alipwe nikabaini kuna viashiria vya 'fraud' kwa kuanzia namna yule Mtu alivyokuwa ana-push jambo (face to face discussion ilitosha kunipa hint kuwa kitu hakipo sawa) nikaishia kwenye uchunguzi na si normal assessment. Matokeo yake ikagundulika gari iliibiwa South Africa. Sasa kama wewe ndiye muamuzi kuhusu malipo na umeletewa report hiyo kutoka independent 'assessor' ungelipa?
 
SA watu wanadanganya sana kuhusu bima ila ndio Nchi unalipwa haraka sana madai ya bima yeyote wapo wanaonunua magari na kusema limeiibiwa analiuza na kulipeleka nje ili alipwe maana mfano kutoka kwenda Botswana haujazi kitu chochote kama documents zinakuhusu wewe na bima ila sasa hivi kwa sababu ya udanganyifu inatakiwa uwe na barua ya Bank maana magari mengi watu wanatumia bank kukopa ili wamiliki harafu bank inakukata kila mwezi..
Bima aina yeyote sio lazima SA kama bima za matibabu sio lazima wakaona kwa nini gari iwe lazima..
Nimeona Zambia sasa hivi wanapewa watu wa escort kusafirisha copper kwa sababu bima wanaona ni biashara kichaa kila kukicha walikua wanalipa copper iliyoibiwa..
 
Mkuu kwa kazi yako haukutakiwa kulipa ulikua sahihi kabisa inaonekana umeiva vizuri kwenye kazi za kiuchunguzi kuhusu magari big up.
Kama gari ilikua na barua ya Interpol kutoka SA na Interpol ya Tanzania wakathibitisha kwa kutoa fail namba yao huyo mtu anatakiwa alipwe kuthibitisha gari ni ya wizi ni taarifa ya Interpol tena wanatuma barua ambayo imetoka SA.
 
SA watu wanadanganya sana kuhusu bima ila ndio Nchi unalipwa haraka sana madai ya bima yeyote wapo wanaonunua magari na kusema limeiibiwa analiuza na kulipeleka nje ili alipwe maana mfano kutoka kwenda Botswana haujazi kitu chochote kama documents zinakuhusu wewe na bima ila sasa hivi kwa sababu ya udanganyifu inatakiwa uwe na barua ya Bank maana magari mengi watu wanatumia bank kukopa ili wamiliki harafu bank inakukata kila mwezi..
Bima aina yeyote sio lazima SA kama bima za matibabu sio lazima wakaona kwa nini gari iwe lazima..
Nimeona Zambia sasa hivi wanapewa watu wa escort kusafirisha copper kwa sababu bima wanaona ni biashara kichaa kila kukicha walikua wanalipa copper iliyoibiwa..
Ni kweli, ndiyo maana hata Bongo Bima wakisema walipe kila dai zinafilisika hapohapo. Kwa mfano kuna kampuni hazitoi comprehensive bima kwa bajaji na pikipiki kwa sababu ya risk - Udanganyifu, ajali nk.

Sasa hiyo ya copper natumai ilikuwa bima ya 'goods in transit'. Kampuni nyingi sana zimepigwa hapo, Mtu anadanganya mzigo wa mafuta au tairi zimeibiwa kumbe mchongo.

Ndiyo maana nikamwambia jamaa hapo juu kuwa wakati wa malipo ni sahihi kuwa makini. Kumbuka comprehensive inakuwa 4%-5% kwa gari za biashara. Ikitokea una gari ya milioni mia moja maana yake utalipa kama Tshs.4,000,000, ikiwa umetoa bima kwa gari 20 maana yake una milioni themanini. Sasa akitokea Mtu akafanya fraud ya total loss au kuibiwa maana yake fidia ni zaidi ya premium za gari 20 ulizokusanya!! You can see the risk
 
Back
Top Bottom