Bill Gates: AI itaua Watu Bilioni isipodhibitiwa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,308
Reaction score
18,485
Mwanzilishi mwenza wa Microsoft, Bill Gates, ametoa wito kwa wabunge na vyombo vya sheria nchini Marekani kuweka udhibiti katika maendeleo ya teknolojia ya akili mnemba (Al), akisema teknolojia hiyo isiposimamiwa inaweza kusababisha vifo vya watu bilioni moja.

Gates amesema hakuna uhakika kwamba kampuni za teknolojia zinaweza kujidhibiti zenyewe, hivyo serikali inapaswa kushiriki katika kuweka mifumo ya ulinzi na ufuatiliaji wa matumizi ya Al ili kuzuia madhara makubwa yanayoweza kujitokeza.

Katika mahojiano na mtangazaji wa kipindi cha NBC Meet the Press, Kristen Welker, Gates amesema Al inaweza kuwa na nguvu kubwa ikiwa itaingia mikononi mwa watu wenye nia mbaya, akionya kuwa teknolojia hiyo inaweza kutumika kusababisha matukio yenye madhara makubwa kwa binadamu.

Gates pia amesema kuwepo kwa mfumo wa kuzima Al endapo teknolojia hiyo itakuwa hatari pekee hakutoshi, akieleza kuwa mjadala huo unaonyesha umuhimu wa kuweka mifumo madhubuti ya usalama na ufuatiliaji wakati teknolojia hiyo ikiendelea kukua.

Onyo la Gates linaungwa mkono na baadhi ya viongozi wa teknolojia na wanasiasa, akiwemo Sam Altman na Elon Musk, huku Seneta Bernie Sanders akipendekeza kusitishwa kwa muda kwa maendeleo ya Al ya hali ya juu hadi pale kanuni za usalama zitakapowekwa.
 
Ok.🐒
 
Huyu Bill alisema covid 19 itauwa waafrika wote na bado tupo tunadunda

USSR
 
Jamani nielimisheni,ni kwa njia Gani AI anaweza kuua watu
Hapa nimeuliza moja ya AI app yenyewe na majibu yake hapo chini, mimi nimeona hapo kwenye red hasa ikihusika medicine na labda silaha nzito kama nyuklia. Kama ambavyo tunaamini kabisa majibu ya mashine kama CT scan, MRI, huenda AI kwenye uzalishaji - tunakoelekea labda AI itasaidia utafiti wa dawa na au silaha na kwa bahati mbaya kukatokea makosa au 'Washenzi' wakaingilia mfumo ndivyo sivyo.

Unakumbuka sakata la Us cable na akina Assange, fikiria Mtu mmoja akaweza kumwaga siri za mawasiliano ya karibia balozi zote za Marekani!1
 
Watu wanadai huu ni mchezo. Wanawekeza pesa nyingi sana kwenye AI kisha wanaona vikampuni vidogo tu toka china vinatoa mi AI ya nguvu. Sasa ili kuvibana hivyo vikampuni na wao waweze kushika soko ndiyo wanaanza kupiga kelele kuwa AI ni hatari inahitaji serikali iidhibiti.
Watu wanajiuliza toka lini kampuni binafsi ziliomba kudhibitiwa na serikali?
 
Matajiri wakiona hawana faida na kitu kinachokua haraka wanaanza maneno, unaweza kufikiri anaongea kweli
 
Fikiria Ndege inaendeshwa na AI kama ilivyo magari sasa hivi ikitokea any breach kwenye mifumo Jua watu miambili tayari mumepoteza maisha, Kipindi unaweka mifumo ya kulinda AI isiingiliwe, vile vile kuna watu wako ndichi wanajaribu kutafuta njia ya kubomoa hiyo mifumo kwaajili ya sababu wanazozijua wao...

AI lengo lake ni kufanya kazi alizokuwa akifanya mwanadamu, fikiria unaingia mtandaoni unauliza AI suala la Afya, AI naye ameingiliwa au amejichanganya matokeo hapo ni kufa Tu, kama itakuwa unafuatilia hii AI huwa inajikoroga, unaweza kuuliza swali ikakuletea majibu ya ajabu ukiiuliza inakwambia "samahani mkuu hapo nimekosea kweli"....

Fikiria kuhusu Conventional weapons ambazo zinaendeshwa na AI, what if nchi nyingine ikaingilia mifumo na kuwasha makombora kuelekea nchi nyingine na je kama ni nyuklia au chemical weapons?, mamilioni ya watu watakufa...

Fikiria kama Palantir Technologies inafanya kazi ya Data Mining na kuzitumia kwenye masuala ya defense and military things, tuna uhakika gani kama kweli hawatazitumia kwa malengo tofauti??, siku hizi uwanja wa vita watu Wanatumia AI drones kumpiga Adui sasa Imagine nchi kama Tanzania isiyo na muelekeo atokee Adui aingize drones zake mipakani na kuanza kuua watu coz hakuna kitu tutafanya....

Hawa Jamaa kutoka Russia, US,Israel na China hawalali hata kidogo wakihakikisha wanakimbizana na muda ili kuwa mbele coz AI its a future of domination...

YEYOTE YULE ATAKAYEWEZA KUWA MBELE KWENYE AI BASI NDIYE MSHINDI KWENYE USALAMA, UCHUMI, SIASA NA NGUVU thus why US is deadly serious kuita their tech CEO's pamoja maana wasipofanya hivyo macho madogo watawamaliza coz hawatanii they mean business.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom