Because of money.

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,811
2,764
Kuna vijana wawili walitorokea Uingereza kutafuta maisha, mmoja katika ya vijana hawa wawili alijifanya kujua sana kimombo akamwambia mwenzake kwamba wakifika Uingereza ikiwa Mzungu akiuliza swali la kwanza jibu liwe US (sisi) swali la pili jibu lake liwe BECAUSE OF MONEY.
Baada ya kufika Uingereza siku kadhaa baadaye wakiwa mitaani walikuta maiti ya mtu aliyekuwa ameuawa kwa kuchomwa visu sehemu mbali mbali za mwili. Wakiwa katika kushangaa, akatokea mzungu na kuwauliza kama ifuatavyo:

Mzungu: Who killed this man?
Vijana Us
Mzungu Why?
Vijana Because of money
Mzungu akapiga simu polisi wakapelekwa Segerea ya Uingereza hadi leo.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom