Recent content by mwafingamba

  1. mwafingamba

    JamiiForums Tanzania Bei ya gunia la mpunga Mbarali

    Hata mm nlikua nahitaji kujua bei ya mchele wa kyela 1kg ni sh ngap now. ...
  2. mwafingamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla acha unafiki, kama hujui sasa nakujuza

    Hivi kigwangala ni waziri wa nyumba na makazi sikuizi? ?
  3. mwafingamba

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kwa hili la kuwakemea mawaziri mbele ya subordinates unanisikitisha

    Haya mambo yakutaka kuitana ofisini sijui kumuogopa mtu kisa ni waziri wakati anapuyanga kazi na waathirika ni sis wananchi wa hali ya Chini yamepitwa na wakati. ....mbona sis wafanyakazi wa kawaida tukikosea tunaambiwa hadharani? ? Tena nahisi JPM aongeze ukari
  4. mwafingamba

    JamiiForums Tanzania Nilishuka kwenye verossa tinted nyeus nikaingia bank kuweka milion 50

    Tukushauri nn? ? ANDAA MALINDA
  5. mwafingamba

    JamiiForums Tanzania Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

    Munataka maiti muzione harafu ili iweje? ?muzichemshie supu? ? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mwafingamba

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanajeshi wanaita kazi za polisi ni za kike?

    Inaonyesha hata ukienda polisi hiyo diploma yako haitatusaidia. .....HAYA NDIO MAZARA YA KUKULIA KWA BIBI
  7. mwafingamba

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa sakata la mchanga litatugharimu

    U jus quote me wrong broh. !!nadhan utawala uliokuwa nyenyekevu,makini na shirikishi ni uliopita na hili wengi tunajua. ..but watu walilalamika sana na ikafika wakawa na hata hamu ya kuwa na kiongozi dictator. ..mungu si athuman jamaa huyu hapa. ....kuhusu madini kaanza na hili la mchanga coz ni...
  8. mwafingamba

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa sakata la mchanga litatugharimu

    Kwahiyo mkuu unadhani hatua hii iliyochukuliwa. ..unadhani Rais anahadaa umma for what? ? Kama Ana hadaa for how long will t last? ? Jamaa now hatafuti Kiki ili umpigie kura. ..anayatimiza yale aliyoyaahidi na anayodhani yanatija kwa watanzania makabwera ambao ndio wengi. ..kiufupi hata kama...
  9. mwafingamba

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa sakata la mchanga litatugharimu

    Nadhani yale mambo ambayo upinzani walikuwa wakiyapigia kelele enzi na enzi jamaa anaanza kuyapigania. ..ukweli ni kwamba katika kuyapigania tukubali kama nchi iliyokua imelala kuwa we have to incur the cost for the mistakes we have done past. ...ishu ni kwamba tumeamua kusonga mbele basi...
  10. mwafingamba

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa sakata la mchanga litatugharimu

    Dah! !?what a dumb nation like this? ? Rais anapigania mikataba ya madini ikae sawa watu eti wanamsikilizia ajikwae? ?tuwe na huruma kwa vizazi vyetu vijavyo guys we are too much selfish
  11. mwafingamba

    JamiiForums Tanzania Mmejiuliza ni kwanini mpaka sasa hawajatoa full soft copy report ya uchunguzi wa mchanga wa dhahabu?

    Dah. ....hivi wa tz mnajua tusipomsapoti sizonje mungu atatuadhibu? ?maana kilikua kilio cha kila mmoja juu ya mikataba ya madini. ..sasa naamini alietuloga alishakufa maana sijawahi ona nchi ambayo Rais anaewaza maendeleo ya nchi kila kuchwao anapingwa vita na wanachi haohao. ..dah Eee mwenyezi...
  12. mwafingamba

    JamiiForums Tanzania Sipendi mpenzi wangu akizama chumvini

    Siujambe? ?akirudua tena kunya. ......
  13. mwafingamba

    JamiiForums Tanzania Je, Mafunzo ya JWTZ yanachukua muda gani?

    Andaaa mwili mkuu. ...hayo mambo ya gharama utatapeliwa muda si mrefu. ....
  14. mwafingamba

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Kuruhusu JWTZ - Operation Kibiti?

    Hawa jamaa wanaojiita usalama wa taifa wapo bado usingizini. .....kazi yao ya msingi waliisahau tangu enzi za mkwere. ...kimsingi walitakiwa wawe wamemwagika pale kibiti muda mrefu...anyway polisi wanamzigo mkubwa sana. .....nchi nyingine likitokea tatizo kama hili vyombo vya ulinzi na usalama...
  15. mwafingamba

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Kuruhusu JWTZ - Operation Kibiti?

    Mkuu hakuna kwenye mambo ya inteligensia polisi walijikita huko kitambo. ..tofauti na unavodhaini. ..jeshi limebase sana kwenye military inteligens kitu ambacho wakiapply kibiti basi wamefail asubuhi ..
Back
Top Bottom