Kwanini wanajeshi wanaita kazi za polisi ni za kike?

Kilwa94

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
1,821
2,000
Mimi nimemaliza Dip.. Ya record management mwaka jana, moja ya ndoto yangu ni kuja kuwa afisa wa Policie, napendaga wale cjui wanaitwa "Fieldforce"wanavyojipambaga cjui munaita MAYOKO.

Bt ninakuwa disappointed, babu yangu yeye ni mjeshi mwenye cheo cha "Staff Sergeant" ananambia policie n kz ya kike.. nikimuuliza kwanini hanambii, Sasa maafande naomba niwekwe wazi hapa coz kwa upande wangu naona polisi ni walinzi na wanajeshi ni walinzi pia sasa cjui ukike upo wapi!!
 
natoka hapa

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
8,354

Nenda kamuulize na vipi askari magereza nao kazi zao ni za kike?
Akisema za kike basi siku moja aingie anga za askari magereza kule ndo atakapowajua wale jamaa kwamba ni kiboko ya umbea na majigambo
Wanajeshi wengi hua wanadharau wenzao, hasa wanajeshi ambao hawajasoma kama babu yako.
Waliosoma wanaheshimu mpaka mama ntiliye
 
Dogo1

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,212
1,500

Huyo babu yako frustration za maisha baada ya kustaafu na hako kacheo kadogo amepoteza uwezo wa kufikiri na kutoa ushauri. Ana elimu ya kiwango gani ?
 
hakika
 
Ananambia kdt cha 4 bt cjui ni kweli
 
jimmy gab

Senior Member
Dec 11, 2016
116
225
Mimi nimemaliza Dip.. Ya record management mwaka jana, moja ya ndoto yangu ni kuja kuwa afisa wa Policie, napendaga wale cjui wanaitwa "Fieldforce"wanavyojipambaga cjui munaita MAYOKO.

Bt ninakuwa disappointed, babu yangu yeye ni mjeshi mwenye cheo cha "Staff Sergeant" ananambia policie n kz ya kike.. nikimuuliza kwanini hanambii, Sasa maafande naomba niwekwe wazi hapa coz kwa upande wangu naona polisi ni walinzi na wanajeshi ni walinzi pia sasa cjui ukike upo wapi!!
Yeye babu yako ni wakiume?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,937
2,000
Mimi nimemaliza Dip.. Ya record management mwaka jana, moja ya ndoto yangu ni kuja kuwa afisa wa Policie, napendaga wale cjui wanaitwa "Fieldforce"wanavyojipambaga cjui munaita MAYOKO.

Bt ninakuwa disappointed, babu yangu yeye ni mjeshi mwenye cheo cha "Staff Sergeant" ananambia policie n kz ya kike.. nikimuuliza kwanini hanambii, Sasa maafande naomba niwekwe wazi hapa coz kwa upande wangu naona polisi ni walinzi na wanajeshi ni walinzi pia sasa cjui ukike upo wapi!!
Hivi Mafunzo na Bondia mwenye kucheza uzito wa Flyweight na wa Heavyweight huwa yanalingana Mkuu wangu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom