Kuna haja ya Kuruhusu JWTZ - Operation Kibiti? | Page 10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna haja ya Kuruhusu JWTZ - Operation Kibiti?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Troll JF, May 18, 2017.

 1. Troll JF

  Troll JF JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2017
  Joined: Feb 6, 2015
  Messages: 6,824
  Likes Received: 9,855
  Trophy Points: 280
  Wakuu ni wazi kuwa tunakoelekea Sasa Tanzania inaface insecurity kama Kenya Ambapo Askari wana popolewa kila na Alshaabab

  Namshauri Rais na Timu yake ni wakati wa Kutumia Elite Special special force kama ya JWTZ Nina Imani tutauangamiza Mtandao wa Wahalifu hasa eneo la Kibiti.

  Tumechoka na watu wanaua Askari wanapora silaha 8, Halafu siku hiyo hiyo Mtu anakuja kudanganya kwenye media kuwa tumeyakamata silaha ni kweli Unapunguza tension kwa wananchi lakini Mioyoni mwenu Mnajua Kua hamjakamata Silaha yeyote.

  Pia Kiwepo kikosi cha Kuchunguza kwa Nini wanaouwawa ni watu wenye mahusiano ya Moja kwa Moja na Chama cha Mapinduzi Chuki hii imesababiswa na Nini na Imeanzia wapi?

  Nina amini Military Operation ya JWTZ itazaa Matunda kwanza huwa wako friendly sana na Raia ulilinganisha Polisi.

  Hata Nchi Za Uingereza Ni Mara Kibao (Special Air Services) SAS na US Marine na Navy Seal Wanatumika kwenye Majanga Mbalimbali.


  1_2.jpg View attachment 511126
  1423903222944.jpeg
   
 2. amita bacha

  amita bacha Senior Member

  #181
  May 19, 2017
  Joined: Mar 10, 2017
  Messages: 154
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 80
  Hao uliowataja hapo walikuwa wanaonekana wazi.

  Hawa wa kibiti wapo kiusiri na mhalifu anaenda kuvamia pekee yake au wakiwa wawili baada ya kusoma ramani na sio wanajionyesha kama vile maandamano ya mtwara ..

  Hao polisi tokea wafanye operation hawajafanikiwa na huenda hao majamaa saizi wapo nyumbani kwao wanatizama TV yanayojiri..

  Tofautisha maandamano na uhalifu wa kujificha
   
 3. zitto junior

  zitto junior JF-Expert Member

  #182
  May 19, 2017
  Joined: Oct 7, 2013
  Messages: 8,387
  Likes Received: 7,118
  Trophy Points: 280
  Haya mkuu we shabikia tu mpaka siku ndugu yako atunguliwe ndio utaelewa kuwa hilo suala ni muhim limalizwe haraka na professionals kma JWTZ ssa mkianza ooh sio jambo rahisi hku watu wanakufa mnakuwa hamtendei haki watu wanaokufa kila cku
   
 4. mandawa

  mandawa Senior Member

  #183
  May 19, 2017
  Joined: Feb 6, 2015
  Messages: 187
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Hv watu wa conflight management wapi wapi! Utemi hausaidii, mauaji ya viongozi na polic na dhahiri kuwa hawa watu wanachuki na serikali, huenda walionewa na sasa hawa watu wamekosa mtetezi ndio wanalipa kwa style hii. Ni dhahili kuwa hawa watu wanafahamika ktk jamii, ila kwa kuwa jamii yote imeumuzwa, haitoi taarifa kwa serikali maana nao wanafurahia kisasi. My take, hata jeshi li mwagwe haitasaidia kama jitihada za kutafuta amani kwa njia ya maelewano halitazingatiwa. Jeshi litaenda, hawatapata taarifa kama wananchi wanafurahia visasi hv.
   
 5. mwafingamba

  mwafingamba Member

  #184
  May 19, 2017
  Joined: May 1, 2017
  Messages: 28
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 15
  Hawa jamaa wanaojiita usalama wa taifa wapo bado usingizini. .....kazi yao ya msingi waliisahau tangu enzi za mkwere. ...kimsingi walitakiwa wawe wamemwagika pale kibiti muda mrefu...anyway polisi wanamzigo mkubwa sana. .....nchi nyingine likitokea tatizo kama hili vyombo vya ulinzi na usalama huwa vinafanya jointventure in strategic intelligence. ...ila inavoonekana JWTZ wanasubir tatizo liwashinde kwanza polis na TISS kadhalika. ...kitu ambacho ni very wrong..
   
 6. TRUTH gasper

  TRUTH gasper Member

  #185
  May 19, 2017
  Joined: Mar 27, 2017
  Messages: 66
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 25
  Umeelezea safi sana
   
 7. TRUTH gasper

  TRUTH gasper Member

  #186
  May 19, 2017
  Joined: Mar 27, 2017
  Messages: 66
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 25
  We jamaa unaongea pumba sana
   
 8. mandawa

  mandawa Senior Member

  #187
  May 20, 2017
  Joined: Feb 6, 2015
  Messages: 187
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Mapovuuu ya nini ? Tehe toho!
   
 9. w

  wise123 JF-Expert Member

  #188
  May 20, 2017
  Joined: Apr 8, 2017
  Messages: 1,387
  Likes Received: 1,228
  Trophy Points: 280
  hata hao wasipotuliza akili wataambulia patupu kama police. raia ndo watazidi kuchapika binadamu wote ni sawa ila mwanajeshi akiuliwa uko iyo kibiti itageuzwa jangwa
   
 10. H

  Hwasha JF-Expert Member

  #189
  May 20, 2017
  Joined: Aug 22, 2015
  Messages: 1,279
  Likes Received: 638
  Trophy Points: 280
  `Kwa hiyo kwa kuwa ni viongozi wanaouwawa tuache waendelee kuuwawa? ninakubaliana na mtoa mada mauji ya Pwani yameizidi nguvu polisi.Wanaouwawa ni raia wenzetu;Na washenzi hao wameanza kuwaondoa si viongozi bali hata watoto wao.Kila chombo chetu cha ulinzi kishiriki kumaliza uovu huu bila tone la huruma.
   
 11. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #190
  May 20, 2017
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,632
  Likes Received: 2,702
  Trophy Points: 280
  Magamba Pelekeni Green Guard acheneni na Majeshi yetu
   
 12. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #191
  May 20, 2017
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,632
  Likes Received: 2,702
  Trophy Points: 280
  Yaani Mwenyekiti wa chama apewe ulinzi
   
 13. Usher-smith

  Usher-smith JF-Expert Member

  #192
  May 20, 2017
  Joined: Jul 7, 2015
  Messages: 6,278
  Likes Received: 5,091
  Trophy Points: 280
  Waweke nguvu kwa waharifu na sio wanahabari na watoa Rambirambi
   
 14. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #193
  May 20, 2017
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,169
  Likes Received: 2,221
  Trophy Points: 280
  Watawajuaje?
   
 15. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #194
  May 20, 2017
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,632
  Likes Received: 2,702
  Trophy Points: 280
  Kwani kibiti kuna vita ?
   
 16. 1000 digits

  1000 digits JF-Expert Member

  #195
  May 20, 2017
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 2,829
  Likes Received: 1,356
  Trophy Points: 280
  Isije ikawa ni mwendelezo wa ile single ya "Tunataka Rais Dikteta", halafu mnaanza tena kulialia.
   
 17. Mr. MTUI

  Mr. MTUI JF-Expert Member

  #196
  May 20, 2017
  Joined: Feb 18, 2013
  Messages: 5,259
  Likes Received: 4,516
  Trophy Points: 280
  Ata mimi nmeona..
   
 18. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #197
  May 20, 2017
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 812
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 80
  Huko ni kupoteza resources,hapa usalama wajipange wa-infiltrate hili kundi,polisi wakiendelea hivi kukamata kila wanayemuhisi inakumba hata watu wasio na hatia.
   
 19. No Escape

  No Escape JF-Expert Member

  #198
  May 20, 2017
  Joined: Mar 7, 2016
  Messages: 4,965
  Likes Received: 4,684
  Trophy Points: 280
  Hao jamaa wakiingia sehemu maongezi ni machache sana,msije kuanza lawama baadae!
   
 20. Rohombaya

  Rohombaya JF-Expert Member

  #199
  May 20, 2017
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 8,920
  Likes Received: 3,671
  Trophy Points: 280
  Dah. ...
   
 21. m

  m2020 JF-Expert Member

  #200
  Jun 9, 2017
  Joined: Jul 10, 2016
  Messages: 797
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 180
  Mheshimiwa Amiri jeshi Mkuu,

  Kwa mauaji yanaoendelea huko suluhisho ni kuwepo kwa operesheni maalumu ya JWTZ ya kupita msitu kwa msitu, Nyumba kwa nyumba na vizuizi barabarani vya ukaguzi wa mfuko kwa mfuko kuanzia Kongowe vikindu, mkuranga kwenda mpaka somanga Kilwa.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...