Mmejiuliza ni kwanini mpaka sasa hawajatoa full soft copy report ya uchunguzi wa mchanga wa dhahabu?

Eeeeeeh

Kwanza anaisoma na wenzake pia, waiushe tu huku ana maamuzi ya kufanya!

LAingine itatolewa tu pale wakijipanga vizuri kumaliza waliotenda maovu.

Hakuna kuyaweka wazi watu wakajipanga, mwendo wa JPM ni ule inapobidi anaenda kichinichini akiibuka mtu huyo hana lake.

Magufuli oyeeeeeee
 
Dah. ....hivi wa tz mnajua tusipomsapoti sizonje mungu atatuadhibu? ?maana kilikua kilio cha kila mmoja juu ya mikataba ya madini. ..sasa naamini alietuloga alishakufa maana sijawahi ona nchi ambayo Rais anaewaza maendeleo ya nchi kila kuchwao anapingwa vita na wanachi haohao. ..dah Eee mwenyezi mungu tusaidie
 
Mara baada ya Raisi Magufuli kukabidhiwa ripoti ya watumishi waliokuwa wanatumia vyeti feki,muda mfupi baadae soft copy ya ripoti hiyo ikiwa na orodha ya majina hayo ilianza kusambaa mitandaoni na kesho yake ikatoka kwenye magazeti.

Sasa hii ripoti kuhusu huu mchanga wa dhahabu mbona mpaka sasa hawajatoa hata full soft copy?

Niwaambie tu ndugu zangu, binafsi sitashangaa kuona hii ripoti ikiishia katika makabati ya pale magogoni na tusiisikie tena.

Kama kuna mwenye nayo naomba kupatiwa link.
Sio kila kitu lazima uone wewe
 
Ipo acha mihemuko
 
Ama kweli Watanzania hamna shukurani...
 
Naona kibaraka wa edo unakata mauno thread yote......endelea kutafuna pesa za fisadi ila ikulu ataishia kuiona kwenye luninga tuu
e9c01a4de843a4b4da08873a913646f5.jpg
 
Back
Top Bottom