Recent content by mwaduda

  1. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ/TPF na wahitimu wa shahada ya kwanza

    Uingie kama mzalendo. Ukiingia kwa ajili ya kufaidika utakuwa umepotea njia
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NAKURU, KENYA: Watu 27 wafariki dunia baada ya bwawa la Patel kuvunja mingi zake

    Tutarajie msiba mkubwa kwa ndugu zetu wa Kenya. Maana Bwawa limepasuka na inasadikika watu wameuawa na maji.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Huwezi kumpata labda umuumbe wa kwako
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kweli ela ya madini haijawai muacha mtu salama

    Weka taarifa kamili
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

    Kumbuka na mzazi wako ni mwanaume kama mimi na wengine. Kwa hiyo acha kutudhihaki.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

    Unapomzungumzia mwanaume ujue kuwa hata baba yako na yeye ni mwanaume. Kwa hiyo usimtukane mzazi wako kupitia jinsia yake.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe tumelipa ndege tarehe 29 Machi 2018 na kesi ikafutwa! Sijui imetoka kwenye bajeti ipi na nani kawajibika...

    Wewe ni miongoni mwa wasaliti kwa Tanzania. Hukupaswa kuzaliwa Tanzania. Ulipaswa uzaliwe Ulaya.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe tumelipa ndege tarehe 29 Machi 2018 na kesi ikafutwa! Sijui imetoka kwenye bajeti ipi na nani kawajibika...

    Katika nyakati za kutaka kujikomboa kulikuwa na watu weusi ambao walikuwa ni wasaliti kwa ndugu zao. Ukiangalia kwa ndani zaidi utagundua kuna watu wa upande fulani ndio walikuwa wakiwasaidia wazungu katika kuwakandamiza watu weusi. Tuachane na hadithi za wahenga. Chinua Achebe kwenye...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bakhresa group punguzeni udini

    Wewe ndio unaleta udini hayawani wewe. Acha unafiki. Mmezoea majungu na unafiki mpaka kwenye biashara za wenzenu. Anzisha yako utoe ajira
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, adhana na kengele bado vinahitajika tena kuitana misikitini na makanisani kusali?

    Kengele sio adhana. Kengele ni ishara ya kuita watu kwenye mkusanyiko aidha wa dini au katika taasisi za elimu. Adhana inavigezo vifuatavyo- 1. Lazima imtaje Mungu na ukuu wake. 2. Itoe shahada ya Mungu Mmoja 3. Shahada ya Utume wa Muhammad 4. Lazima iwaite waislam wakamuabudu yule aliyewaumba...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, adhana na kengele bado vinahitajika tena kuitana misikitini na makanisani kusali?

    Kwangu mimi adhana ni uhuishaji mazingira.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, adhana na kengele bado vinahitajika tena kuitana misikitini na makanisani kusali?

    Adhana inamtukuza Mwenyezi Mungu kwa kutaja Ukuu wa Mungu. Baada ya kutaja Ukuu wa Mungu kinachofuata ni kutanabaisha na kushuhudia kuwa hakuna Mungu mwingine isipokuwa yeye tu. Kisha inashuhudisha kuwa SAW ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Kisha adhana inatutaka tusimamishe sala katika kumuabudu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 7 Wafukuzwa Chuo Kikuu Cha Kiislamu Morogoro kwa kujihusisha na Mapenzi

    Dr. Wansegamila Sababu sio mahusiano, sababu iliyowafanya wafukuzwe chuo ni "uzinifu"
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Shetani anapenda mambo maovu. Ingekuwa amekaa na shetani nadhani Quran ingesema "ikaribieni zinaa" lakini Quran inasema "zinaa ni uchafu" na mzinifu mwanaume akizini mara moja basi kama ni mwanandoa basi mkewe ataziniwa mara kumi zaidi. Kazi kwenu
Back
Top Bottom