JWTZ/TPF na wahitimu wa shahada ya kwanza

Uhenye JKT,Msata,Monduli then ukalipwe milioni moja na uhuru wako uuze

Si bora ufungue genge
 
Jamaa yangu mmoja kaenda batch hii ya juzi kakutana na wana kibao na bachelor

Kaamua kutoka nduki,tupo naye sasa hivi kimtaa
 
Uhenye JKT,Msata,Monduli then ukalipwe milioni moja na uhuru wako uuze

Si bora ufungue genge
Wengine wanaipenda hiyo kazi na wanaifanya kwa moyo wote PESA SIO INAYOWAFANYA KUPENDA KUFANYA KAZI JESHINI ndg yangu. Kama unataka kutajirika tuu, JESHINI SI MAHALA SAHIHI.
 
Miaka ya hivi kribuni jeshi limekuwa likiajiri sana wanataaluma wenye shahada.Fatilia na ikibidi fika wizarani mwenyewe ukapate maelezo ya kina.Nina imani unaweza ukatokea jeshini na ukatimiza ndoto zako.
Jeshi sio ndoto yake, hataliweza. Ameongea target zake kuwa ni ukosefu wa ajira na pia malipo ni kiasi gani, bila shaka sio ndoto yake kuvaa gwanda bali ajira na mshahara.
 
Hiyo mishahara mnayoitaja jeshi lingejaa degree holders maana kuna wagumu wanasanda mtaani na degreezao
 
digirii yako ni ya nini? kuna digirii nyingine dili jeshini na nyingine balaa! mie nilitoroka na digirii yangu pale kunduchi dar mwaka 2007. kabla sijakushauri nijulishe digirii yako kwa sababu jeshini ndio kwetu, upo mura!

Hahahahahahahahah we mzee umenifanya nimecheka sanaaaa.....et ulitoroka
 
Wakubwa mbona nimeskia skuhizi nyota hazipewi kizembe hata kama una elimu yakoo ni mpaka uende kozi.?????

Kuna ukweli gan hapo.???? Maana namimi ni mhanga wa hizi nafasi nazisubir kwa hamu sana.
 
Wakubwa mbona nimeskia skuhizi nyota hazipewi kizembe hata kama una elimu yakoo ni mpaka uende kozi.?????

Kuna ukweli gan hapo.???? Maana namimi ni mhanga wa hizi nafasi nazisubir kwa hamu sana.
Jeshi la kipekee sana unaweza ukawa na phd na usiwe officer na ukaingia zamu na kushika siraha kama kawaida.na kila cheo kina kozi kama uafisa ni mwaka mmoja pale monduli
 
Back
Top Bottom